Ahahaaaaaa wasira tena.[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Uzuri mi nna sura ya kazi, mdogo wake na wasira.
Sema huyo jamaa sioni kama ni kama unavomzungumzia
Mkuu una wasiwasi kuwa jamaa anataka kutumia fursa?!.Anampenda Jay Dee !!!?????? Aaache utapeli huyuu..
[emoji3] [emoji3]Dawa yake ipi?
We ni McutestAhahaaaaaa wasira tena.
Ila ni sababu am a woman ndo maana namuona muhb. Kama wewe ukiniona mcute [emoji12] [emoji12] [emoji12]
unajuwa hawa walio tahiriwa,hata upigeje yy anaona hujafanya kitu[emoji2] [emoji2] [emoji2] kiddingJamaa Ajitahidi amkojoze vizuri ili na yeye asije kuimbiwa ndindindi..
Ingia Inbox yako, nmekutumia picha zangu alafu linganisha na kamwili ka huyo jamaa kalikojengeka kwa kula chips mayai, na mwili wangu ulojengeka kwa mazoez ya monduliAiseee Jide kachukua kitu banaa mashaallah jamaa wa ukwelii halaf anaonekana anajua malovedave loo wanapendezeana haswaa,ana body la ukweli mchiz
diklopaDawa yake ipi?
Haya naenda kuangaliaIngia Inbox yako, nmekutumia picha zangu alafu linganisha na kamwili ka huyo jamaa kalikojengeka kwa kula chips mayai, na mwili wangu ulojengeka kwa mazoez ya monduli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ingia Inbox yako, nmekutumia picha zangu alafu linganisha na kamwili ka huyo jamaa kalikojengeka kwa kula chips mayai, na mwili wangu ulojengeka kwa mazoez ya monduli
Nitumie namimi nihakikishe, zawadi yako ipoIngia Inbox yako, nmekutumia picha zangu alafu linganisha na kamwili ka huyo jamaa kalikojengeka kwa kula chips mayai, na mwili wangu ulojengeka kwa mazoez ya monduli
dushe tu unadhani kuna lingine tenaDawa yake ipi?
Muhogo wa Jang'ombe.Dawa yake ipi?
Ahaaaa umenichekesha, wanaigeria no mabi gwa Wa kudanganya wanawake na wakijua uko umeshaumizwa mahaba atakayokupa bab kubwa , lakini mwisho lazima atakutapeli. Hawana mapenzi ya burebure.Duu, So he is Nigerian Oo!
hawa watu hata Trump anawagwaya sana aisee!
Mmh! lets hope for the best!!