Mahojiano na Rais Samia: Natumaini Dkt. Ryoba ataanzia pale alipoishia Salim Kikeke badala ya kurudia maswali yale yale

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Rais ni taasisi hivyo tunategemea mkurugenzi mkuu wa TBC Dr Ryoba atakuwa na mjadala mpana katika majadiliano yake na Rais Samia badala ya kuuliza yale yale yaliyoulizwa na mtangazaji nguli wa BBC Salim Kikeke.

Ni Leo!

Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia!
 
Hiv kumbe nilikuwaga naota kwamba Ayub Rioba alishaachiaga ngaz Tibisi.
 
1. Je Ni Kweli Gesi ya Mtwara ni Fidia ya Uhuru wa Mwanamfalme wa Nne?
 
Sina muda mchafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…