Mahojiano na Rais Samia: Natumaini Dkt. Ryoba ataanzia pale alipoishia Salim Kikeke badala ya kurudia maswali yale yale

Mahojiano na Rais Samia: Natumaini Dkt. Ryoba ataanzia pale alipoishia Salim Kikeke badala ya kurudia maswali yale yale

Rais ni taasisi hivyo tunategemea mkurugenzi mkuu wa TBC Dr Ryoba atakuwa na mjadala mpana katika majadiliano yake na Rais Samia badala ya kuuliza yale yale yaliyoulizwa na mtangazaji nguli wa BBC Salim Kikeke.

Ni Leo!

Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia!
Aaaaaaa!!! hii ki-protocol imekaaje?

Isije ikaonekana ni insubordination kwa Dr. Ryoba kumuhoji bosi wake, ni kweli atamhoji maswala kuntu yenye mantiki na tija kwa Taifa kutokana na yanayoendelea currently katika nchi hii?

Au itakuwa ni danganya toto kwetu kwamba Mh. Rais kahojiwa na chombo chetu cha habari? kwanza sina imani na Dr. Ryoba kuhusu ufahamu wa mambo nyeti na yaliyokwenda shule kiasi cha kumfanya ahojiane na Mh. Rais.
 
Kuna jambo mama anataka kuliweka sawa... Wameona watumie njia ya mahojiano na tibisi ili alifikishe
 
Back
Top Bottom