Mahojiano na Rais Samia: Natumaini Dkt. Ryoba ataanzia pale alipoishia Salim Kikeke badala ya kurudia maswali yale yale

Aaaaaaa!!! hii ki-protocol imekaaje?

Isije ikaonekana ni insubordination kwa Dr. Ryoba kumuhoji bosi wake, ni kweli atamhoji maswala kuntu yenye mantiki na tija kwa Taifa kutokana na yanayoendelea currently katika nchi hii?

Au itakuwa ni danganya toto kwetu kwamba Mh. Rais kahojiwa na chombo chetu cha habari? kwanza sina imani na Dr. Ryoba kuhusu ufahamu wa mambo nyeti na yaliyokwenda shule kiasi cha kumfanya ahojiane na Mh. Rais.
 
Kuna jambo mama anataka kuliweka sawa... Wameona watumie njia ya mahojiano na tibisi ili alifikishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…