Mahojiano na Shilole kwa kiingereza

Mahojiano na Shilole kwa kiingereza

Maskini huu ni udhalilishaji wa wazi kabisa! Walimpa pombe kwanza ndio wakanfanyia mahojiano..it's not fair
Wengine tunazungumza kingereza cha kuwasiliana sisi kwa sisi akitokea mwenye lugha yake jasho linaanza kukutoka kitete si kitete ilimradi tabu tupu
 
Huyu ni mjasiri sana.. Alishasema hawez ila kwa kuonesha ujasir anakiongea ivo ivo.. Kwan hajawah kusikia tangazo la ras simba?

People we love me so much[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom