Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Wengine tunazungumza kingereza cha kuwasiliana sisi kwa sisi akitokea mwenye lugha yake jasho linaanza kukutoka kitete si kitete ilimradi tabu tupuMaskini huu ni udhalilishaji wa wazi kabisa! Walimpa pombe kwanza ndio wakanfanyia mahojiano..it's not fair
Mimi nadhani anataka kukijua kwa nguvu ila hatii umanani na benki yake ya maneno ya lugha hiyo ipo muflisi.ila yeye anafanya makusudi tu,mana anajijua hajui so anaongea kufurahisha watu!
yaaah!ndo anavyosemaga kua kuna mwl atamfundisha Ila atajua!jitihada haishindi kudraMimi nadhani anataka kukijua kwa nguvu ila hatii umanani na benki yake ya maneno ya lugha hiyo ipo muflisi.
Yaah kuruka ruka kwa maharage ndio kuiva kwake ila safari bado ndefuyaaah!ndo anavyosemaga kua kuna mwl atamfundisha Ila atajua!jitihada haishindi kudra
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kweli kabisa!Yaah kuruka ruka kwa maharage ndio kuiva kwake ila safari bado ndefu
alisema kashatafuta mwl wa kumfundisha!Mimi nadhani anataka kukijua kwa nguvu ila hatii umanani na benki yake ya maneno ya lugha hiyo ipo muflisi.
Walimu wapo wengi mwisho wa siku ni wepesi wa kichwa chakealisema kashatafuta mwl wa kumfundisha!
...Niachieni Shishi baby wangu.