Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Wewe utamchagua. Mtu aliyepora KOROSHO zetu kifashist tutamchaguaje? Ili atupore tena?Sisi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Yule ambaye haishi Tanzania atachaguliwa na robert
Hamruhusu kwa ushamba wenu tu lakini siyo kosa kimsingiKwani Tanzania inaruhusu Uraia wa Nchi mbili?
Ushenzi wenu unaisha October usifikiri mambo yatakuwa kama yalivyokuwa kabla ya Lissu.Mshaurini ndugu yenu kuna maisha baada ya uchaguzi,asisahau hilo.
Akumbuke kuanzia tar 29 oct hatotakiwa kusikika mtu akisema fye fye fye
na asisahau alipotoka na muhimu akumbuke ana familia na tayari kashaingia Nchini.
Mbona unao was nchi tatu hatusemiWatanzania tuwe makini tuache kusikiliza wagombea wenye uraia wa Nchi mbili
Acha ujinga mbona warundi na wanyarwanda wako kibao wameajiriwa hapa nchini na wanawasumbua Sana hata wenye nchi.anzisheni uhakiki wa uraia kwanza.Tundu Lisu ni Mnyatulu wa Singida. Ujinga huo huo mliuanzisha kwa Nyarandu. Mbona Jenerali siyo mtz na shehe Ponda ni mtanzania au tuwaanike wote? Nenda Kigoma Kama utamkuta mtz halisi halafu ndio utajiongeza kichwani mwakoWatanzania tuwe makini tuache kusikiliza wagombea wenye uraia wa Nchi mbili
Wa Tanzania na Burundi au sio??Watanzania tuwe makini tuache kusikiliza wagombea wenye uraia wa Nchi mbili
Zero!Watanzania tuwe makini tuache kusikiliza wagombea wenye uraia wa Nchi mbili
Kwani mie nimesema hata hicho kingereza anakijua!Sidhani hata lugha gani manake hata kiswahili chenyewe kinampa tabu.Uswis hata hawaongei kingereza, acha kuwa zuzu
Huyo si attention seeker, werevu tunachukulia alitaka "kuuzia" sura tuu.hiyo bookshelf ya Lissu ina m-define ni mtu wa aina gani.
Haya ni maneno ya vitisho..kuna watu mnaona kama nchi hii ni yenu na wajomba zenu..!!Mshaurini ndugu yenu kuna maisha baada ya uchaguzi,asisahau hilo.
Akumbuke kuanzia tar 29 oct hatotakiwa kusikika mtu akisema fye fye fye
na asisahau alipotoka na muhimu akumbuke ana familia na tayari kashaingia Nchini.
Hukohuko Lissu nyie si mnajifanya mnajua kununua media za ndaniWatanzania tuwe makini tuache kusikiliza wagombea wenye uraia wa Nchi mbili
Kawashika pabaya eeeh???Huyu mbeligiji ni mpuuzi sana
Hata wanakimbilia mbeleko.Kawashika pabaya eeeh???
hata kichwa boga wenu nae wafuasi wake wengi ni wanafunzi tena wa primary fala wwHuyu milembe walikosea sana kumruhusu aondoke maana nikiangalia kwa mbali bado naona kuna shida kwenye akili yake.
Eti anasema watanzania maelfu kwa maelfu wanahudhuria mikutano yake hivyo anaamini kuwa wote wanao kuja kwenye mikutano yake lazima wampigie kura,huyu mtu ni wa kupimwa akili,maelfu kwa maelfu wakati wapiga kura wako mamilioni kwa mamilioni,sasa hao maelfu wanatosha kumpa ushindi dhidi ya mamilioni wa CCM? Jibu ni hapana
Huyu mtu kwa waliokaribu yake wanapaswa wamuambie kuwa si kila anayeenda kwenye mikutano yake ni mfuasi wake wengine wanakuja kuangalia mashavu yake yalivyonenepeana,mimi binafsi nimehudhuria mikutano ya Lissu zaidi ya Mara nne lakini mimi si mfuasi wake na nilitumia nauli kubwa kuhufutilia mikutano yake katika mikoa mitatu lakini hata kama jua litabadili uelekeo Leo siwezi mpa kura yangu lissu
Aache kupotosha huyu bwana,waliomtuma awaambie watanzania wamemshitukia.
Uko ndotoni, amka utajinyea.Huyo si attention seeker, werevu tunachukulia alitaka "kuuzia" sura tuu.
October 28 kura zote kwa JPM.
JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
Very organised, well oriented and visioned speech.