Wanaongea kiswahili? English is quite widely spoken acrossSwitzerland as a whole, with around two thirds of the total population estimated to be able tospeak some English. ... Switzerland actually has four official languages – German, French, Italian and Romansh.😳😳✌✌✌Uswis hata hawaongei kingereza, acha kuwa zuzu
Wanaongea kiswahili? English is quite widely spoken acrossSwitzerland as a whole, with around two thirds of the total population estimated to be able tospeak some English. ... Switzerland actually has four official languages – German, French, Italian and Romansh.[emoji15][emoji15][emoji111][emoji111][emoji111]
Magu anao wa kuzaliwa Burundi (Hutu)Watanzania tuwe makini tuache kusikiliza wagombea wenye uraia wa Nchi mbili
Magu hafai msikitini wala kanisani.. Bia yetu wakati Kidimbwi. Samaki. Tips huwezi kununua bia and ya buku tanoMbona unaandika ujinga au nawewe ni mzee wa jinsia?
Je, waweze thibitisha mgombea mwenye uraia wa Nchi mbili? Acha kuwa zuzu tunahitaji ushindani sawa, mchanganyiko bungeni, hivi unafikiri wote bungeni wawe CCM kutakuwa na usimamizi wa kweli na makini kwa serikali? Je, hawata pitisha sheria kandamizi, na nani hataihoji serikali 'seriously' mjifikirie kwanza nyie wenyewe na vizazi vyenu!Watanzania tuwe makini tuache kusikiliza wagombea wenye uraia wa Nchi mbili
Watanzania tuwe makini tuache kusikiliza wagombea wenye uraia wa Nchi mbili
Lisu anawafanya maccm, mapolisi, tume na wadhalimu wote wajue hawajui chochote. Ni spana mdomoni, spana zaidi katika matendo. Spana! Spana! Spana. Leo katupa msamiati mpya pale Kiluvya. Amemaliza hotuba kwa kusema "It's late, but it's okey. Tuko tayari kuingia magogoni.Hata jambazi hunusurika kufa,
Huyu jamaa kajaa roho ya uasi ni wakumuepuka kama ukoma katika nchi.
Sio wote mkuu mnalipwa bk 7,ila wengi wenu mnafaidika na utawala huu.Si kila anayempinga huyu bwana wenu aliyenenepeana mashavu ni analipwa buku saba,hapana wengine kama sisi ni wazalendo tunapigania nchi, na hatuko tayari kuona nchi yetu inakuwa koloni jipya la wabeligiji kwa kumkabidhi mbeligiji lissu
Mimi ni mzalendo haitatokea kamwe nchi hii kuweka mikononi mwa kibaraka wa wazungu,lissu anatembeza homa juani ,hakuna atakachoambuliaSio wote mkuu mnalipwa bk 7,ila wengi wenu mnafaidika na utawala huu.
Either we ni mmoja wapo kati ya wale walionufaika na ule uchaguzi Wa serkali za mitaa,ulipita bila kupingwa.so no lazima utetee chama chako ccm.
Atakwenda ubelgiji...atakuwa akiendesha siasa akitokea nje Kama vibaraka wengi wamekuwa wakifanya...ataendelea kuichafua Tanzania Akiwa nje...upo uwezekano ataunda jeshi atakaloita la ukombozi likitokeaa nchi jiraniMshaurini ndugu yenu kuna maisha baada ya uchaguzi,asisahau hilo.
Akumbuke kuanzia tar 29 oct hatotakiwa kusikika mtu akisema fye fye fye
na asisahau alipotoka na muhimu akumbuke ana familia na tayari kashaingia Nchini.
Leta ushahidi sio maneno tuWatanzania tuwe makini tuache kusikiliza wagombea wenye uraia wa Nchi mbili
Na yule mrundi wa magogoni vipi?Huyu mbeligiji ni mpuuzi sana
Mkisha jaza hayo matumbo yenu mnasahau kwamba kuna wengine wana njaa!Watanzania tuwe makini tuache kusikiliza wagombea wenye uraia wa Nchi mbili
safi kameroonTuepuke sana, tusije tukawa Cameroon inayoongozwa na Rais anayeishi uswis