Mahojiano ya Askofu Kakobe na TIARAEI baada ya kusikika akisema ana hela nyingi

Mahojiano ya Askofu Kakobe na TIARAEI baada ya kusikika akisema ana hela nyingi

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
TIARAEI: Askofu Kakobe tunataka kujua utajiri wako uliupataje.

Kakobe: Kwa Yesu.

TIARAEI: Umesema una hela nyingi sana.

Kakobe: Ndiyo

TIARAEI: Umezihifadhi benki gani?

Kakobe: Kwa Baba Mbinguni.

TIARAEI: Kwanini uzihifadhi huko?

Kakobe: Ni kwa sababu maandiko yanasema "Jiwekeeni hazina mbinguni ambako nondo na kutu haviwezi kuharibu" (Mathayo 6:20)

TIARAEI: Ukisema nondo au kutu unamaanisha ni sisi?

Kakobe: Wewe wasema. Najiepusha na Mafarisayo na masadukayo.

TIARAEI: Ushuru wetu.

Kakobe: Tubuni halafu nendeni kwa baba mbinguni
 
MMMMMH[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Tatizo wanakurupuka, askofu ni kiongozi wa kiroho kwhyo mengi anaongea ya ufalme wa Mungu ambao ni kiroho zaidi wao kusikia anaela kuliko serikali mate yamewajaa wanataka wakampangie matumizi [emoji23][emoji28][emoji23]

usicheze na watumishi wa Mungu.
 
Kama vile wengi hawakumuelewa pale alipotabiri kwamba Mungu kamuonesha kwamba Mrema atakuwa raisi. Na hakueleweka tena alipomtabiria kipenzi chake Lowasa naye kuwa mshindi kwenye mbio za uraisi. Na hakueleweka zaidi pale alipoitisha serekali kuwa,wakithubutu kupitisha umeme juu ya kanisa lake,umeme utakatika nchi nzima. Yote hayo hayakutokea.

Kakobe si wa mchezo mchezo..
Huwa ananena kwa lugha watu wakidhani anaongea kiswahili
 
TIARAEI: Askofu Kakobe tunataka kujua utajiri wako uliupataje.

Kakobe: Kwa Yesu.

TIARAEI: Umesema una hela nyingi sana.

Kakobe: Ndiyo

TIARAEI: Umezihifadhi benki gani?

Kakobe: Kwa Baba Mbinguni.

TIARAEI: Kwanini uzihifadhi huko?

Kakobe: Ni kwa sababu maandiko yanasema "Jiwekeeni hazina mbinguni ambako nondo na kutu haviwezi kuharibu" (Mathayo 6:20)

TIARAEI: Ukisema nondo au kutu unamaanisha ni sisi?

Kakobe: Wewe wasema. Najiepusha na Mafarisayo na masadukayo.

TIARAEI: Ushuru wetu.

Kakobe: Tubuni halafu nendeni kwa baba mbinguni
jf napapenda aiseee nikiwa na stress naingiaga humu zinaisha
 
Back
Top Bottom