figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
TIARAEI: Askofu Kakobe tunataka kujua utajiri wako uliupataje.
Kakobe: Kwa Yesu.
TIARAEI: Umesema una hela nyingi sana.
Kakobe: Ndiyo
TIARAEI: Umezihifadhi benki gani?
Kakobe: Kwa Baba Mbinguni.
TIARAEI: Kwanini uzihifadhi huko?
Kakobe: Ni kwa sababu maandiko yanasema "Jiwekeeni hazina mbinguni ambako nondo na kutu haviwezi kuharibu" (Mathayo 6:20)
TIARAEI: Ukisema nondo au kutu unamaanisha ni sisi?
Kakobe: Wewe wasema. Najiepusha na Mafarisayo na masadukayo.
TIARAEI: Ushuru wetu.
Kakobe: Tubuni halafu nendeni kwa baba mbinguni