Mahojiano ya Askofu Kakobe na TIARAEI baada ya kusikika akisema ana hela nyingi

Kama vile wengi hawakumuelewa pale alipotabiri kwamba Mungu kamuonesha kwamba Mrema atakuwa raisi. Na hakueleweka tena alipomtabiria kipenzi chake Lowasa naye kuwa mshindi kwenye mbio za uraisi. Na hakueleweka zaidi pale alipoitisha serekali kuwa,wakithubutu kupitisha umeme juu ya kanisa lake,umeme utakatika nchi nzima. Yote hayo hayakutokea.

Kakobe si wa mchezo mchezo..
Huwa ananena kwa lugha watu wakidhani anaongea kiswahili
[emoji30]
 
Siasa ni nini?
Siasa ni kuongea tofauti na uhalisia.

Nasubiri kurekebishwa.
 
Kama vile wengi hawakumuelewa pale alipotabiri kwamba Mungu kamuonesha kwamba Mrema atakuwa raisi. Na hakueleweka tena alipomtabiria kipenzi chake Lowasa naye kuwa mshindi kwenye mbio za uraisi. Na hakueleweka zaidi pale alipoitisha serekali kuwa,wakithubutu kupitisha umeme juu ya kanisa lake,umeme utakatika nchi nzima. Yote hayo hayakutokea.

Kakobe si wa mchezo mchezo..
Huwa ananena kwa lugha watu wakidhani anaongea kiswahili
Kiki zenu za kununua wapinzani ameziharibu ndani ya sekunde mbili...
 
Haipendezi Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kodi kuvaa Tishert zenye Benno au Charter ya Kibiashara Kwmy Mkutano rasmi wa Kazi ( dress code)
 
Kama vile wengi hawakumuelewa pale alipotabiri kwamba Mungu kamuonesha kwamba Mrema atakuwa raisi. Na hakueleweka tena alipomtabiria kipenzi chake Lowasa naye kuwa mshindi kwenye mbio za uraisi. Na hakueleweka zaidi pale alipoitisha serekali kuwa,wakithubutu kupitisha umeme juu ya kanisa lake,umeme utakatika nchi nzima. Yote hayo hayakutokea.

Kakobe si wa mchezo mchezo..
Huwa ananena kwa lugha watu wakidhani anaongea kiswahili
Wana sayansi huwa wanasemaaaaaaa .... VICE VERSA IS TRUE ..... sijui ndo alivyomaanisha ... mie si miongoni mwa wana sayansi just NIMETUPIA TU kausemi kao ... naenda Zimbabwe kwa Mnangagwa nitarudi baadae ..
 
Kweli ukubwa wa pua si wingi wa makamasi.

Hivi anatokea mtu anasema ana pesa kuliko serikali, halafu TIARAEI wanakurupuka humtafuta kujua kiasi cha kodi anacholipa mhusika.

Kuna mmoja aliwaambia wana ujinga wa kiwango cha lami.

Hivi TIARAEI aliyewaambia Serikali ni ile ya Jamhuri ya Muungano tu, ni nani?

Hivi hakuna Serikali nyingine hapa nchini?

Serikali za Wanafunzi wa vyuo vya juu na nyingine nyingi tu, kwenu mnaziitaje?

Ndo maana Shika aliwaacha solemba alipowaambia nanukuu " nilisema naweka mia tano, mia tisa itapendeza" Hakutaja milioni.

Halafu aliyemteua huyu kamaa wa TIARAEI ni nani?

Duuuu. Basis bwana. Tuendelee kushangaana. Si ndo tulivyo??!!
 
Kakobe: Wewe wasema. Najiepusha na Mafarisayo na masadukayo

Tena hao Mafarisayo na Masadukayo Bwana Yesu aliwakemea na kuwaambia ni wanafiki wakubwa ambao husafisha Sahani na Vikombe nje tu wakati ndani mmejaa uchafu na ubaya (uovu) tele.

NB: Asomae na afahamu.
 
Huyo jamaa na tisheti lake ya Levis yani kwa akili yake amemaua kuendeshwa na siasa
 
TIARAEI: Askofu Kakobe tunataka kujua utajiri wako uliupataje.

Kakobe: Kwa Yesu.

TIARAEI: Umesema una hela nyingi sana.

Kakobe: Ndiyo

TIARAEI: Umezihifadhi benki gani?

Kakobe: Kwa Baba Mbinguni.

TIARAEI: Kwanini uzihifadhi huko?

Kakobe: Ni kwa sababu maandiko yanasema "Jiwekeeni hazina mbinguni ambako nondo na kutu haviwezi kuharibu" (Mathayo 6:20)

TIARAEI: Ukisema nondo au kutu unamaanisha ni sisi?

Kakobe: Wewe wasema. Najiepusha na Mafarisayo na masadukayo.

TIARAEI: Ushuru wetu.

Kakobe: Tubuni halafu nendeni kwa baba mbinguni
[emoji56]
 
Kama vile wengi hawakumuelewa pale alipotabiri kwamba Mungu kamuonesha kwamba Mrema atakuwa raisi. Na hakueleweka tena alipomtabiria kipenzi chake Lowasa naye kuwa mshindi kwenye mbio za uraisi. Na hakueleweka zaidi pale alipoitisha serekali kuwa,wakithubutu kupitisha umeme juu ya kanisa lake,umeme utakatika nchi nzima. Yote hayo hayakutokea.

Kakobe si wa mchezo mchezo..
Huwa ananena kwa lugha watu wakidhani anaongea kiswahili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom