Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Kwakwakwakwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji30]Kama vile wengi hawakumuelewa pale alipotabiri kwamba Mungu kamuonesha kwamba Mrema atakuwa raisi. Na hakueleweka tena alipomtabiria kipenzi chake Lowasa naye kuwa mshindi kwenye mbio za uraisi. Na hakueleweka zaidi pale alipoitisha serekali kuwa,wakithubutu kupitisha umeme juu ya kanisa lake,umeme utakatika nchi nzima. Yote hayo hayakutokea.
Kakobe si wa mchezo mchezo..
Huwa ananena kwa lugha watu wakidhani anaongea kiswahili
Haha
Kiki zenu za kununua wapinzani ameziharibu ndani ya sekunde mbili...Kama vile wengi hawakumuelewa pale alipotabiri kwamba Mungu kamuonesha kwamba Mrema atakuwa raisi. Na hakueleweka tena alipomtabiria kipenzi chake Lowasa naye kuwa mshindi kwenye mbio za uraisi. Na hakueleweka zaidi pale alipoitisha serekali kuwa,wakithubutu kupitisha umeme juu ya kanisa lake,umeme utakatika nchi nzima. Yote hayo hayakutokea.
Kakobe si wa mchezo mchezo..
Huwa ananena kwa lugha watu wakidhani anaongea kiswahili
Wanawake wanakazi aiseeee.....jama sura MBAYA kama .....Huyu kifutu amejizalilisha kabla hata ya kusikia majibu ya Kakobe.
[HASHTAG]#Atubu[/HASHTAG]
Wana sayansi huwa wanasemaaaaaaa .... VICE VERSA IS TRUE ..... sijui ndo alivyomaanisha ... mie si miongoni mwa wana sayansi just NIMETUPIA TU kausemi kao ... naenda Zimbabwe kwa Mnangagwa nitarudi baadae ..Kama vile wengi hawakumuelewa pale alipotabiri kwamba Mungu kamuonesha kwamba Mrema atakuwa raisi. Na hakueleweka tena alipomtabiria kipenzi chake Lowasa naye kuwa mshindi kwenye mbio za uraisi. Na hakueleweka zaidi pale alipoitisha serekali kuwa,wakithubutu kupitisha umeme juu ya kanisa lake,umeme utakatika nchi nzima. Yote hayo hayakutokea.
Kakobe si wa mchezo mchezo..
Huwa ananena kwa lugha watu wakidhani anaongea kiswahili
Haha
Kakobe: Wewe wasema. Najiepusha na Mafarisayo na masadukayo
[emoji56]TIARAEI: Askofu Kakobe tunataka kujua utajiri wako uliupataje.
Kakobe: Kwa Yesu.
TIARAEI: Umesema una hela nyingi sana.
Kakobe: Ndiyo
TIARAEI: Umezihifadhi benki gani?
Kakobe: Kwa Baba Mbinguni.
TIARAEI: Kwanini uzihifadhi huko?
Kakobe: Ni kwa sababu maandiko yanasema "Jiwekeeni hazina mbinguni ambako nondo na kutu haviwezi kuharibu" (Mathayo 6:20)
TIARAEI: Ukisema nondo au kutu unamaanisha ni sisi?
Kakobe: Wewe wasema. Najiepusha na Mafarisayo na masadukayo.
TIARAEI: Ushuru wetu.
Kakobe: Tubuni halafu nendeni kwa baba mbinguni
DuhNjombe Fm
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama vile wengi hawakumuelewa pale alipotabiri kwamba Mungu kamuonesha kwamba Mrema atakuwa raisi. Na hakueleweka tena alipomtabiria kipenzi chake Lowasa naye kuwa mshindi kwenye mbio za uraisi. Na hakueleweka zaidi pale alipoitisha serekali kuwa,wakithubutu kupitisha umeme juu ya kanisa lake,umeme utakatika nchi nzima. Yote hayo hayakutokea.
Kakobe si wa mchezo mchezo..
Huwa ananena kwa lugha watu wakidhani anaongea kiswahili