figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Njombe Fmhuyo TIARAEI ni mwandishi wa habari wa media gan?
Kama vile wengi hawakumuelewa pale alipotabiri kwamba Mungu kamuonesha kwamba Mrema atakuwa raisi. Na hakueleweka tena alipomtabiria kipenzi chake Lowasa naye kuwa mshindi kwenye mbio za uraisi. Na hakueleweka zaidi pale alipoitisha serekali kuwa,wakithubutu kupitisha umeme juu ya kanisa lake,umeme utakatika nchi nzima. Yote hayo hayakutokea.Tatizo wanakurupuka, askofu ni kiongozi wa kiroho kwhyo mengi anaongea ya ufalme wa Mungu ambao ni kiroho zaidi wao kusikia anaela kuliko serikali mate yamewajaa wanataka wakampangie matumizi [emoji23][emoji28][emoji23]
usicheze na watumishi wa Mungu.
jf napapenda aiseee nikiwa na stress naingiaga humu zinaishaTIARAEI: Askofu Kakobe tunataka kujua utajiri wako uliupataje.
Kakobe: Kwa Yesu.
TIARAEI: Umesema una hela nyingi sana.
Kakobe: Ndiyo
TIARAEI: Umezihifadhi benki gani?
Kakobe: Kwa Baba Mbinguni.
TIARAEI: Kwanini uzihifadhi huko?
Kakobe: Ni kwa sababu maandiko yanasema "Jiwekeeni hazina mbinguni ambako nondo na kutu haviwezi kuharibu" (Mathayo 6:20)
TIARAEI: Ukisema nondo au kutu unamaanisha ni sisi?
Kakobe: Wewe wasema. Najiepusha na Mafarisayo na masadukayo.
TIARAEI: Ushuru wetu.
Kakobe: Tubuni halafu nendeni kwa baba mbinguni