Obamaeli Rutajecha
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 230
- 274
Watu wamejichokea,kila mtu anajua hali yake. Kumeza bomu sio mchezoHuyo binti video zake tu inaonyesha empty kichwani kama Wolper ila watu kama Majizo na Mondi wanaonekana wajanja lakini wamepiga dry chama mpka mimba
Hamas au Al shabab hao jamaaWatu wamejichokea,kila mtu anajua hali yake. Kumeza bomu sio mchezo
Wabongo tunachuki mnooo na hamisaa [emoji1] [emoji1] [emoji1] Dada angu huo hao wanaume ndo kila siku wanaponda single mums ila Leo wanamsifu zari[emoji1] [emoji1] [emoji1] zari huyu huyu aliyemuacha mume aliyezaa nae watoto wa 3 na kukimbilia Serengeti boy hahaha kweli wabongo sie wanafiki sana, kisa ni Mbongo mwenzetu basi ni chuki juu ya chuki dhidi yake
kukubali kwake kumemnusuru!!!Anhaa...
Walishajipanga kinoma aisee.. Duh.
Wameumbuka vibaya.
Nakuamboa hivi hamisa atabeba mimba nyingine tenaIla nimeamini usiusemee moyo. Zari alivyokuwa anabisha mtoto siyo wa Diamond. Halafu alivyokuwa anajiamini yupo peke yake utafikiri huwa anatembea na dudu ya Diamond kwenye handbag yake.
Hamisa hamna kitu kichwa ni ziro kabisa.Hajui kula na kipofu atakuwa amepoteza vingi kwa Naseeb kwa kutaka sifa au kushinda na Zari.Kabisa...amefanya vizuri na pia kulinda jina namziki wake lakini wadhamini wake pia...unajua uongo ukisema sana unakuwa ukweli..mtu unapewa laki tano kila wiki
Rav4mpyaa mil 25.
Ukapewa mil 7kununua mapocho pocho ya mtoto
Na milioni nne za hosp.. Nk nk...halafu bado unavujisha..hako kabinti kamejiharibia..
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wabongo hata ukiwa unaoga watasema unawatimulia vumbi.!Yaaan na hapa kwavile Domo kashamkubali mtoto basi wanasubilia picha za mtoto waanze kusema..Kheee mbona mtoto hafanani na domo ......hawakawii kusema mtoto ni wa Joti ...we subilia picha za mtoto tu uone yatakayoibuka
Ana kazi nao, si mwanaDSM mwenzako huyo?Unataka ujue saizi ya uume wa mwanaume mwenzio ili iweje?
Na angekana hahahahah lingeshushwa bomi hilooo sio la nchi hiiiWabongo tunachuki mnooo na hamisaa [emoji1] [emoji1] [emoji1] Dada angu huo hao wanaume ndo kila siku wanaponda single mums ila Leo wanamsifu zari
Acheni unafiki Diamond alipomuita Misa Bitch are dying for fame na baadae kuandika mistari ya kukataa kua yeye si baba dully ni baba tifa baba Nillan alikua na maana gani? Hivi mnadhani kila mwanamke anachizika sana na pesa hee bila ya kumpigania mwanaeKwa maelezo yake hakuna alipokana mimba, toka ifahamike anamimba Hamisa anapewa laki tano kwa wiki.
Siku ya kujifungua kapewa milioni saba ya hospitali......alipojifungua akapewa milioni saba ya vitu vya kwenye chumba cha mtoto...alimtumia Mama yake akamsalimie mtoto.
Tatizo la Hamisa ni uswahili ndio unaomsumbua......Mbona viongozi na raia wa kawaida tunazaa nje mara sana ila mhimu ni kuheshimu makubaliano.
Mobeto alitaka ajione yeye ndio Zari au atachukua nafasi ya Zari.... Wakati Mondi alishamwambia Zari kwamba nimechepuka na Mobeto ......
Hamisa ukigodoro umemzidi.
Anajituma kwa kitanda..angekuwa shoga bado mngechonga....Diamond wapelekee tu mtoto wa kiume....mwacheni kamanda ale mapapuchi atiii!!!amezaa naye sana ila kanaboa haka kabwanamdogo kanakula papuche mwanzo mwisho
SanaaaaSAFI SANA DIAMOND....
HIZI AKILI SI ZA TANZANIA.
Kwa nini alimkana sasa?hv do u know hamisa ametukanwa Mara ngapi na mashabiki mpk na zari mwenyewe?angepaswa akubali toka mwanzoKwa maelezo yake hakuna alipokana mimba, toka ifahamike anamimba Hamisa anapewa laki tano kwa wiki.
Siku ya kujifungua kapewa milioni saba ya hospitali......alipojifungua akapewa milioni saba ya vitu vya kwenye chumba cha mtoto...alimtumia Mama yake akamsalimie mtoto.
Tatizo la Hamisa ni uswahili ndio unaomsumbua......Mbona viongozi na raia wa kawaida tunazaa nje mara sana ila mhimu ni kuheshimu makubaliano.
Mobeto alitaka ajione yeye ndio Zari au atachukua nafasi ya Zari.... Wakati Mondi alishamwambia Zari kwamba nimechepuka na Mobeto ......
Hamisa ukigodoro umemzidi.
Hana ubavu huo na akimuacha ntamuona mjinga mnooooZari Kumpiga Chini Diamond baada ya hii interview... Stay Tune
Heheheheh na bado anakuja wa pili ,,hamissa kalenga pazurii,hawatoishia hapoHamisa hamna kitu kichwa ni ziro kabisa.Hajui kula na kipofu atakuwa amepoteza vingi kwa Naseeb kwa kutaka sifa au kushinda na Zari.
Yeye alitakiwa apige kimya mpaka ajue msimamo wa mtoto wake atapata nini?
Tangu mimba alianza kujishaua,mwanaume mwenye familia yake huwa hawapendi ujinga wa hivyo hata kama amechepuka lkn huwa wanapenda mchepuko uwe na usiri na heshima kwa familia yake.
kuishi kwa kutegemea K kuna muda wake hata uwe mzuri kama pesa.
Aisee.Ana kazi nao, si mwanaDSM mwenzako huyo?
Hata Mimi na huu ndo uanaume kule kumkana kunauma sana mbele za hadhara na matusi juiManeno hayo ya kwenye media mtoto atayakuta na atayaishi ndani yake ! Kikubwa Diamond alikosea na sasa amefanya marekebisho na kutambua kwamba kuteleza si kuanguka" kwa hilo nampongeza Sana