Kwa maelezo yake hakuna alipokana mimba, toka ifahamike anamimba Hamisa anapewa laki tano kwa wiki.
Siku ya kujifungua kapewa milioni saba ya hospitali......alipojifungua akapewa milioni saba ya vitu vya kwenye chumba cha mtoto...alimtumia Mama yake akamsalimie mtoto.
Tatizo la Hamisa ni uswahili ndio unaomsumbua......Mbona viongozi na raia wa kawaida tunazaa nje mara sana ila mhimu ni kuheshimu makubaliano.
Mobeto alitaka ajione yeye ndio Zari au atachukua nafasi ya Zari.... Wakati Mondi alishamwambia Zari kwamba nimechepuka na Mobeto ......
Hamisa ukigodoro umemzidi.