Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameponzwa na MangeDuh.................. kwahiyo mtoto atakua anapewa laki 2 kwa mwezi haaaaaaaaa
ila Dai loves Zari, ni vile tu umalaya ni ka tabia kake
Mshaanza kumsingizia Dada wa Taifa hapa hahaha muacheni Mange wa watu jamani eeh eeh hahaha huko bize na Lisu mwenzenuNa ndio wanamponza had dogo anasema atafuata sheria za nchi alipe laki 2 kwa mwezi, na ninavyomfahamu Mange atamshauri Hamisa aongee na media! Baada ya mwezi wakipata umbea mwingine wanamuacha peke yake analea huku hana mahusiano mazuri na baba yake
Mange kamponza vipi sasaAmeponzwa na Mange
Kipi bora mwanao anajulikana legally ila kimya kimya na anapata huduma zote au publically ila mahusiano na huduma ni za kiustawi wa jamii?[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] umeona eeeeh!wanaomponda hamisa wengi michepuko humu na wanaume wakataaa watoto
We wakike au wakiume?nipo hapa mbele Kabisa na popcorn zangu
Hahahaha Hamisa katumbuliwa kutoka 500 elfu hadi 200 elfu....na hapo D kamuonea huruma huwa haifiki hiyo...!Duh.................. kwahiyo mtoto atakua anapewa laki 2 kwa mwezi haaaaaaaaa
ila Dai loves Zari, ni vile tu umalaya ni ka tabia kake
hahaaaaa He loves Zari saaana..........Amenichekesha sana dimond eti siachani na zari hata iweje ikitokea zari ameniacha ntavua buti nitembee hadi SA huku nasema baby nisamehe baby nisamehe hahahhahahahahhaha
Dada wa USA alifikiri Dai atazingua akaandaa na wapiga tarumbeta na wapiga zumari, eti anamwambia Hamisa kuwa dai akizingua alipue bomu la hiroshima, sasa nadhani hapa DADA anatafuta pa kupumulia maana matundu yote yamezibwa.
mangekimambi_Naipenda hii picha maana inafanana na vituko vyako vya the last 72 hours , you look naughty!
.
.
Sasa sikiliza vichupi kunuka wanaomba ufanye Hivi, ukae standby ukisikiliza interview ya baba Dully. Akiongea usenge tu achia bomu moja la nuclear hapo hapo kipindi kikiwa hewani, Yani achia kitu cha Hiroshima kilichomtuliza Mjapani World War 2 Ili wachanganyikiwe, kina Gea chupi ziwabane katikati ya kipindi wasijue hata wanaanzia wapi kumuuliza Baba Dully kuhusu hilo bomu jipya, yani wamwoneee aibu hata kumuuliza na Baba Dully adate ashindwe hata kuendelea na interview, Yani studio pawe padogo kila mtu atafute pakutokea akose...Yani wanyeeeeeeeeee leo .
Wewe humjui Mange kaa kimya tu! Mange alianza kuyasema haya hata huyo Hamisa mwenyewe alikua hajaanza kutangaza, eti Mange atafute pa kupumulia hahaha pole yako kijana hujamjua vizuri yule Dada
Hahaha nampeleka na mwanangu akajipatie baba lol, na nipewe laki 7 kwa week rav 4 juuHayaa sasa Wanawake DIAMOND anawaambia woote ambao mna hisi amewazalisha...
Pelekeni watoto..
DAHH...
MONDI....SUCH A MEIN...