Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Duuuhhhh , naona mnaopenda kuchepuka nawame za watu ndo mnafurahia sana namnamuunga mkono hamisa .......nyinyi naendelea kuwadharau sababu mnatumia matope kufikiria bila kujua malezi yamtoto yanaitaji Baba na mama wawe namausiano bora.
K ,,K ,, K INAMWISHO WAMATUMIZI.

Wasiopenda kuchepuka ndo mnamponda Hamisa sababu mnawaza kuibiwa mwanamme ni jambo linaoumiza ...nyinyi nawapa hongera sababu mnaakili.
 
Mange analishwa tu manews hana lolote...anachofanya yeye ni kupost tu kitu alichotumiwa na wadau...hata wewe unaweza ukamtumia vituko vyako na akavipost pia.
Unaonaje na wewe ukajiunga kwenye walishwaji? Umbea nayo kazi
 
Kipi bora mwanao anajulikana legally ila kimya kimya na anapata huduma zote au publically ila mahusiano na huduma ni za kiustawi wa jamii?
Bora familia imtambue na apewe Huduma kwani hata akijitambua atajua baba yake anamuhudumia kuliko kujulikana kwa uma na kupewa matunzo ya kiustawi
 
Mange kamponza vipi sasa
Kama unamsikiliza domo, tatizo lake na Hamisa ni kutaka kutumia uhusiano wake kumuumiza Zari na kutuma picha na videos kwa watu wa mitandaoni na info sensitive za mahusiano kwa wambea wa Insta (akina Mange), ange chill angekula Bata! Kuna jamaa nimekua naye alikua mtoto wa nje wa mtu mkubwa sana enzi hizo alikua anakula bata mbaya na alienda kusoma US chuo! Ila ni watu wachache sana walimjua baba yake ni nani! Alikua anatumia surname ya Mama!
 
Diamond ana sema Zari akimkataa atapiga magoti hapa hadi South ....
 
Na ndio wanamponza had dogo anasema atafuata sheria za nchi alipe laki 2 kwa mwezi, na ninavyomfahamu Mange atamshauri Hamisa aongee na media! Baada ya mwezi wakipata umbea mwingine wanamuacha peke yake analea huku hana mahusiano mazuri na baba yake
Inatosha mbili nyingine zinatoka kwa majizzo akichanganya mambo safi [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Dada wa USA alifikiri Dai atazingua akaandaa na wapiga tarumbeta na wapiga zumari, eti anamwambia Hamisa kuwa dai akizingua alipue bomu la hiroshima, sasa nadhani hapa DADA anatafuta pa kupumulia maana matundu yote yamezibwa.

mangekimambi_Naipenda hii picha maana inafanana na vituko vyako vya the last 72 hours , you look naughty!
.
.
Sasa sikiliza vichupi kunuka wanaomba ufanye Hivi, ukae standby ukisikiliza interview ya baba Dully. Akiongea usenge tu achia bomu moja la nuclear hapo hapo kipindi kikiwa hewani, Yani achia kitu cha Hiroshima kilichomtuliza Mjapani World War 2 Ili wachanganyikiwe, kina Gea chupi ziwabane katikati ya kipindi wasijue hata wanaanzia wapi kumuuliza Baba Dully kuhusu hilo bomu jipya, yani wamwoneee aibu hata kumuuliza na Baba Dully adate ashindwe hata kuendelea na interview, Yani studio pawe padogo kila mtu atafute pakutokea akose...Yani wanyeeeeeeeeee leo .
Hahahahaha
Domo kasema hamisa usifate maneno ya watu watakuharibia hehehe uwiii hamisa sikiliza anaekupa rav 4 sio kina mange shauliro
Hata wakitoa bomu gani halina effect tena
Swali ni after this what next hamisa?
 
Kama unamsikiliza domo, tatizo lake na Hamisa ni kutaka kutumia uhusiano wake kumuumiza Zari na kutuma picha na videos kwa watu wa mitandaoni na info sensitive za mahusiano kwa wambea wa Insta (akina Mange), ange chill angekula Bata! Kuna jamaa nimekua naye alikua mtoto wa nje wa mtu mkubwa sana enzi hizo alikua anakula bata mbaya na alienda kusoma US chuo! Ila ni watu wachache sana walimjua baba yake ni nani! Alikua anatumia surname ya Mama!
Kutumia Surname ya mama huku babako mzazi yupo huo nao ni ujinga tu! Bora ushindie mihogo huku ukimjua babako na kupeperusha jina lake kama yeye Mond alivyomjua babake na mpaka hii Leo ameweza kuwakana wengine ili tu amfurahishe mtu mmoja !
 
Bora familia imtambue na apewe Huduma kwani hata akijitambua atajua baba yake anamuhudumia kuliko kujulikana kwa uma na kupewa matunzo ya kiustawi
Hiyo ndio akili zetu za kiume ila hawa wadada aka matimu wanakomaa na ajulikane publically kumbe wanaharibu mahusiano ya watoto wa Zari na mtoto wa Hamisa na mama zao pia. Ndugai aliulizwa una watoto wangapi akajibu mwanaume haulizwi ana watoto wangapi na hakuna mwanamke aliyejitokeza kusema mwanangu amekanwa kwa sababu anajua anapata huduma na baba anamtambua! Ila hawa wadada kesho tu angeenda Insta
 
Back
Top Bottom