Hakusoma alama za nyakatiHiyo ndio akili zetu za kiume ila hawa wadada aka matimu wanakomaa na ajulikane publically kumbe wanaharibu mahusiano ya watoto wa Zari na mtoto wa Hamisa na mama zao pia. Ndugai aliulizwa una watoto wangapi akajibu mwanaume haulizwi ana watoto wangapi na hakuna mwanamke aliyejitokeza kusema mwanangu amekanwa kwa sababu anajua anapata huduma na baba anamtambua! Ila hawa wadada kesho tu angeenda Insta