Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Kwa mwendo huu Diamond atawabadilisha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaonaje na wewe ukajiunga kwenye walishwaji? Umbea nayo kaziMange analishwa tu manews hana lolote...anachofanya yeye ni kupost tu kitu alichotumiwa na wadau...hata wewe unaweza ukamtumia vituko vyako na akavipost pia.
Ameshakubali mtoto na anatunza hahaha
Bora familia imtambue na apewe Huduma kwani hata akijitambua atajua baba yake anamuhudumia kuliko kujulikana kwa uma na kupewa matunzo ya kiustawiKipi bora mwanao anajulikana legally ila kimya kimya na anapata huduma zote au publically ila mahusiano na huduma ni za kiustawi wa jamii?
Kama unamsikiliza domo, tatizo lake na Hamisa ni kutaka kutumia uhusiano wake kumuumiza Zari na kutuma picha na videos kwa watu wa mitandaoni na info sensitive za mahusiano kwa wambea wa Insta (akina Mange), ange chill angekula Bata! Kuna jamaa nimekua naye alikua mtoto wa nje wa mtu mkubwa sana enzi hizo alikua anakula bata mbaya na alienda kusoma US chuo! Ila ni watu wachache sana walimjua baba yake ni nani! Alikua anatumia surname ya Mama!Mange kamponza vipi sasa
cha muhimu kusikiliza pande zote.. dai anaangusha lawama zote kwa mwenzie. clouds wamuite na hamisa aeleze upande wakeDada hawa ndo walewale wasiojitambua na wakataa mimba ndo wanatetea
Mkuu na mkongo alikuwa anakula mashudu sio?Huyu demu kuna yule Mkongo aliyepitia mastar wote na yeye alikua anajiachia naye tu kitaa
Unaonaje na wewe ukajiunga kwenye walishwaji? Umbea nayo kazi
Mambo Heaven on Earth ..Duh.................. kwahiyo mtoto atakua anapewa laki 2 kwa mwezi haaaaaaaaa
ila Dai loves Zari, ni vile tu umalaya ni ka tabia kake
Inatosha mbili nyingine zinatoka kwa majizzo akichanganya mambo safi [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Na ndio wanamponza had dogo anasema atafuata sheria za nchi alipe laki 2 kwa mwezi, na ninavyomfahamu Mange atamshauri Hamisa aongee na media! Baada ya mwezi wakipata umbea mwingine wanamuacha peke yake analea huku hana mahusiano mazuri na baba yake
HahahahahaDada wa USA alifikiri Dai atazingua akaandaa na wapiga tarumbeta na wapiga zumari, eti anamwambia Hamisa kuwa dai akizingua alipue bomu la hiroshima, sasa nadhani hapa DADA anatafuta pa kupumulia maana matundu yote yamezibwa.
mangekimambi_Naipenda hii picha maana inafanana na vituko vyako vya the last 72 hours , you look naughty!
.
.
Sasa sikiliza vichupi kunuka wanaomba ufanye Hivi, ukae standby ukisikiliza interview ya baba Dully. Akiongea usenge tu achia bomu moja la nuclear hapo hapo kipindi kikiwa hewani, Yani achia kitu cha Hiroshima kilichomtuliza Mjapani World War 2 Ili wachanganyikiwe, kina Gea chupi ziwabane katikati ya kipindi wasijue hata wanaanzia wapi kumuuliza Baba Dully kuhusu hilo bomu jipya, yani wamwoneee aibu hata kumuuliza na Baba Dully adate ashindwe hata kuendelea na interview, Yani studio pawe padogo kila mtu atafute pakutokea akose...Yani wanyeeeeeeeeee leo .
Mambo Heaven on Earth ..Duh.................. kwahiyo mtoto atakua anapewa laki 2 kwa mwezi haaaaaaaaa
ila Dai loves Zari, ni vile tu umalaya ni ka tabia kake
Kutumia Surname ya mama huku babako mzazi yupo huo nao ni ujinga tu! Bora ushindie mihogo huku ukimjua babako na kupeperusha jina lake kama yeye Mond alivyomjua babake na mpaka hii Leo ameweza kuwakana wengine ili tu amfurahishe mtu mmoja !Kama unamsikiliza domo, tatizo lake na Hamisa ni kutaka kutumia uhusiano wake kumuumiza Zari na kutuma picha na videos kwa watu wa mitandaoni na info sensitive za mahusiano kwa wambea wa Insta (akina Mange), ange chill angekula Bata! Kuna jamaa nimekua naye alikua mtoto wa nje wa mtu mkubwa sana enzi hizo alikua anakula bata mbaya na alienda kusoma US chuo! Ila ni watu wachache sana walimjua baba yake ni nani! Alikua anatumia surname ya Mama!
Uko sahihi kabisacha muhimu kusikiliza pande zote.. dai anaangusha lawama zote kwa mwenzie. clouds wamuite na hamisa aeleze upande wake
Huyu ndowanamke bwana....mwanamke umri umeenda lkn still she is captivating
Hiyo ndio akili zetu za kiume ila hawa wadada aka matimu wanakomaa na ajulikane publically kumbe wanaharibu mahusiano ya watoto wa Zari na mtoto wa Hamisa na mama zao pia. Ndugai aliulizwa una watoto wangapi akajibu mwanaume haulizwi ana watoto wangapi na hakuna mwanamke aliyejitokeza kusema mwanangu amekanwa kwa sababu anajua anapata huduma na baba anamtambua! Ila hawa wadada kesho tu angeenda InstaBora familia imtambue na apewe Huduma kwani hata akijitambua atajua baba yake anamuhudumia kuliko kujulikana kwa uma na kupewa matunzo ya kiustawi