Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Na ndio wanamponza had dogo anasema atafuata sheria za nchi alipe laki 2 kwa mwezi, na ninavyomfahamu Mange atamshauri Hamisa aongee na media! Baada ya mwezi wakipata umbea mwingine wanamuacha peke yake analea huku hana mahusiano mazuri na baba yake
Mshaanza kumsingizia Dada wa Taifa hapa hahaha muacheni Mange wa watu jamani eeh eeh hahaha huko bize na Lisu mwenzenu
 
upload_2017-9-19_12-16-41.png
 
Duh.................. kwahiyo mtoto atakua anapewa laki 2 kwa mwezi haaaaaaaaa
ila Dai loves Zari, ni vile tu umalaya ni ka tabia kake
Hahahaha Hamisa katumbuliwa kutoka 500 elfu hadi 200 elfu....na hapo D kamuonea huruma huwa haifiki hiyo...!
Hamisa alikosa washauri kaingia kichwa kichwa...hahahaha
 
Dau limeshuka kutoka laki 5 kwa wiki plus zingine na sasa ni laki 2 kwa mwezi plus diapers..
Huyu baada ya kuzaa angepata hata mamilioni kwa wiki. Waliomponza wazidi kumshauri.. siku hizi pesa analipa mwanasheria kwa kuweka kwenye account.
Alitaka kuwa mke, Zari aachwe..
Laki 2 ngoja nimcheke jinga hilo.. aendelee kuuza papu kwasababu ba mtoto wake wa kwanza alimuacha kwa hilo.

Hamiswa hadi kumdanganya baba D na kumnunulia nguo mpya avae eeeeh.. ahudhurie 40.. hamiswa aende milembe kuchekiwa

Zari ni mke.. harusi kama hukualikwa ungejuaje.. ina ilipakwa kusherekea
 
Dada wa USA alifikiri Dai atazingua akaandaa na wapiga tarumbeta na wapiga zumari, eti anamwambia Hamisa kuwa dai akizingua alipue bomu la hiroshima, sasa nadhani hapa DADA anatafuta pa kupumulia maana matundu yote yamezibwa.


mangekimambi_Naipenda hii picha maana inafanana na vituko vyako vya the last 72 hours , you look naughty!
.
.
Sasa sikiliza vichupi kunuka wanaomba ufanye Hivi, ukae standby ukisikiliza interview ya baba Dully. Akiongea usenge tu achia bomu moja la nuclear hapo hapo kipindi kikiwa hewani, Yani achia kitu cha Hiroshima kilichomtuliza Mjapani World War 2 Ili wachanganyikiwe, kina Gea chupi ziwabane katikati ya kipindi wasijue hata wanaanzia wapi kumuuliza Baba Dully kuhusu hilo bomu jipya, yani wamwoneee aibu hata kumuuliza na Baba Dully adate ashindwe hata kuendelea na interview, Yani studio pawe padogo kila mtu atafute pakutokea akose...Yani wanyeeeeeeeeee leo .


Mange siyo Mshauri ona alivyomdharirisha Hamisa sasa upepo unamgeukia leo ndiyo atakuwa wakuchekwa tu.. Eti Mwanasheria wake anataka alipwe 5Million kwa Wiki kweli wanawake zero ni Zero Ssa hapo Sura yake ataiweka wapi
 
Wewe humjui Mange kaa kimya tu! Mange alianza kuyasema haya hata huyo Hamisa mwenyewe alikua hajaanza kutangaza, eti Mange atafute pa kupumulia hahaha pole yako kijana hujamjua vizuri yule Dada

Mange analishwa tu manews hana lolote...anachofanya yeye ni kupost tu kitu alichotumiwa na wadau...hata wewe unaweza ukamtumia vituko vyako na akavipost pia.
 
Hayaa sasa Wanawake DIAMOND anawaambia woote ambao mna hisi amewazalisha...

Pelekeni watoto..

DAHH...

MONDI....SUCH A MEIN...
Hahaha nampeleka na mwanangu akajipatie baba lol, na nipewe laki 7 kwa week rav 4 juu
 
Back
Top Bottom