Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Naomba nimpongeze Hamisa, mwisho wa siku Diamond amekubali mtoto hadharani, amembana vizuri mpaka ile siri imekuwa sio siri tena.. Hata wakimbeza but atleast amewin recognition status..
Ila Mondi apunguze umalaya
 
Mtu ana mahusiano yake yanajulikana alafu unakubali na wewe kumvulia nguo na mimba unamtegeshea halafu uwe namba moja
Ndipo wanaposhangaza umekubali kugongwa kimya kimya na hautegemei mtoto kuwa wa kimya kimya! Aliyewaroga hawa watu alishakufa
 
Alimuita hivo baada ya hamisa kuanzisha kutimtim insta kwan angekaa kimya angetukanwa SAA ngap hamisa ndo zile type za wanawake akitembea na MTU fulan anaenda jitangazia
Kipi wakati unamkana mtoto mbele za watu tukiwa wawili unamkubali So jamii inanichukulia kwamba Nakusingizia mtoto.Alichoongea cha Msingi ni kwamba yeye Mondi ndo ameyasababisha yote baada ya kuogopa kumwambia Zari.
 
My Dear Hs,

vuta pumzi, kunywa maji.
Mahusiano ya Diamond na Zari yapo public. Mtu aliyekubali kuwa side chick akubali matokeo yote.
Mmh ukijua kufungua zipu ujue na kuwa responsible. Anayeumia hapa ni mtoto asiye na hatia yoyote, na sio hao watu wazima waliokodisha ufahamu wao. Huyo diamond hakujua ana main chick?
 
Kitu kigumu kabisa maishani sio kuushinda umaskini ila ni kuumanage utajiri..walioshindwa wite katika maisha wanapanga ni vipi watakuangusha kwa njia yeyote ile...kwa kuwa sasa chibu keshakubali mtoto ni wake na kuonyesha how regretfull he is,kesi imefungwa that cheap illiterate slut hamisa hana kingine cha kumuweka kwenye headlines...karata ngumu iliobaki ni zari atalichukuliaje....kama zari akichukulia kiroho safi...kwa mara nyingine tena chibu na zari watakuwa wameshinda na mange,hamisa and the likes wakajipange tena...
 
Kweli kbc
 
Oyaaaaaaaa
Nimefurahi kumsoma kaandika hayo
Mwanamke ukijitambua ndio vizuri.. safi sana Mamaaaaaaaa... akome D kutembeza liguu lake la tatu..

Zari oyeeeeeee
Wewe siasa zimekiharibu aisee

Eti Zari oyeeeeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hilo ndo kosa lake kubwa, agekubali tu kama alivyokubali leo. "Jamani eeh ni kweli kosa limetokea ila mtoto ni wa kwangu period". Siku 2 tu tushasahau mbona
 
Nakuambia hivi hawez ambulia laki 2 ,na mtoto mwingine anazaliwa upo
Na dai hawezi muacha Hamisa
 
Kipi wakati unamkana mtoto mbele za watu tukiwa wawili unamkubali So jamii inanichukulia kwamba Nakusingizia mtoto.Alichoongea cha Msingi ni kwamba yeye Mondi ndo ameyasababisha yote baada ya kuogopa kumwambia Zari.
Ila hamisa naye michecheto ilizidi utafikiri mond ndo alimtoa bikira
 
Huu wakaka ungekua unamgusa mtu mwenye akili timamu na hajajiwekea mazingira ya kuwa perceived kama gold digger unamake sense sana. Kama umeona hii situation huyu mama hajaja public ili mtoto alelewe vizuri rather kaja public kuonesha amelala na diamond na kumkomoa huyo mganda... angekua kweli anapigania haki ya mtoto kilimchomfanya akubali mimba kuwa siri ni nini? Unampa ushauri mtu ambae akili zake tu hazimtoshi... haya sasa diamond kakubali mtoto publicly kafaidika nini? Zaidi ya kudhalilika zaidi, na huyu kawa very honest mtoto hafichiki na muda ungefika mtoto angetambulishwa vizuri tu.
Nikupe mfano... Nina mtu wangu wa karibu mkewe ana watoto wa kiume watatu wakubwa mdogo yupo chuo mumewe ana mchepuko na kapata mtoto wa kike amekua kidogo Yule mtoto anajulikana mpaka kwa kaka zake na ukoo mzima tunajua anahudumiwa vizuri na nyumba mama kajengewa lakini baba hajathubutu kusema kwa mkewe sababu wote tunajua yule mama ni mtu wa aina gani muda ukifika atajua tu ...
So wanawake tuache kujigonga kwa watu wenye watu wao wanaojulikana wana mahusiano yao na kubeba mimba juu... anaeumia ni mtoto sababu hakuna mtu anaebakwa wala kushikiwa mtutu unless huyo mwanaume alikudanganya hana mahusiano. Tanzania sio ulaya kwamba sheria za child support zinabana.
 
Hapo Diamond alishanasa, Hamisa alikuwa na uwezo wa kumuomba chochote cha maana na angetoka kimaisha na kuacha kujiuza uza. Ningekuwa mie ndio Dai, ningemalizana na Zari wangu then nifanye utaratibu wa kumchukuwa mwanangu.
Yani angeyatoa kiulaini sana maana sio siri Diamond mpunga anaoingiza katika kila event ni ndefu na yupo kwenye peak so anasign deals hela inaingia toka kila upande.

Kwa wanawake wale wanaojua kula na kipofu watamtukana sana huyu fala..Option aliopewa ilikuwa ni rahisi sana. Kaaa kimya tu mama usiongee kitu!!!

Mbona wengine baba zetu walizaa na mama wengine watoto wakapigishwa life kimya kimya mpaka wamekuwa mke mkubwa anakuja kugundua siku ya msiba wa baba.
Hamisa ni kichwa maji tu...ieleweke hivyo!
 
Na wenzako kushabikia vitu msivyovijua na kumtukana bint wa Watu.
Umeshawahi kuniona natukana au umejisahau kwamba upo Jf ulidhani ni Insta! Sina huo muda wa kumtukana mtu nisiyemjua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…