Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajabu sana laki tano kwa wiki, rav 4 na matusi debe eti anyamaze mbona mama yake Dai alimtunza ht hizo laki mbili hakuwa anapewa? mie Hamisa ni shujaa wangu tena kama mnafuatilia kwa undani binti huyu asingefikia kutoa zile picha kama mzazi mwenzie angemheshimu, amechukua muda sana. Haki ya mtoto ni muhimu kuliko pesa na matusi.
Kwa mwanaume kama mimi kosa la diamond kubwa ni kumkana mtoto on public siku ya interview, lile swali alitakiwa ajibu kwa sura mbili 1. Angewaeleza waandishi sipo tayari kujibu hilo swali lakini muda mwingine nitajibu 2 . Angekubali mtoto ni wangu lakini sina mahusiano zaidi na mama yake naomba radhi kwa familia yangu na mashabiki na wote waliokwazika na hili.Aah aisee nimezidi kuwashangaa hawa ndugu zetu wanaovaa suruali. Mtu yupo busy "nimempa sh ngapi sijui vitu gani" Aah afu sijui alikuwa anavitoa huku moyoni vinamuuma, huto tuvitu ndo tu tungereplace "acceptance" yake kwa mwanae? Nonsense, amshukuru Hamissa kamsaidia kuondoa dhambi ya kumkana mwanae, tena afanye na TOBA
yani kulala na mwanaume/mpenzi wa mtu ni ujinga...kulala nae na kukubali kufanywa dry ni uzwazwa doh..Mpumbav ni dem huyoo...
Hahahaaa kimenuka
Atafute Wa kumzalisha tena so ndiyo sifaSasa Hamisa atabaki na nani? Kote kaharibu.
Hehehehe....haya heri yetu harufu inatoka kwenye tundu moja ......wenye mawili sasa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hehehe wanaume wa kiafrika ni [emoji90][emoji90][emoji90]
Tena angemkubali mapema sidhani hata kama ingekuwa big deal kwa Zari, japo yes angeumia and all that but, sidhani kama Zari angemuacha Dai kisa kuzaa na Hamissa, hata baada ya kuwa baby momma, she will never be a threat to zari. "Acceptance" kitu cha msingi sanaNi ujinga mtupu kutaka Zari na mondi waachane Mimi nlikua nataka mtoto apate public recognition only that
Atafute Wa kumzalisha tena so ndiyo sifa
Kwani zari kaolewa?As long Nassib hajamuoa Hamisa.
Mtoto si wa Nassib mtoto ni wa Hamisa.
Hii ni kwa mujibu wa imani ya kidini ya Nassib.
HahahahahahahaHadi sasa Diamond 6, Mange kimambi 0
Sikh hizi tunatambulisha baba za watoto istagram ?Nampongeza Hamisa ana akili nyingi sana japo watu wanamuona mjinga. Baba wa mtoto ni huyo na mtoto keshazaliwa na alichofanya ni kuweka wazi tu majina ya baba wa mtoto hajaongeza neno.
Eti hajui kula na kipofu! Kula nini? Ili baadae mtoto amlaumu mama umenificha babangu na baba ajitetee ni mamako alikuwa hataki tujuane vizuri.
Hamisa aendelee kutukanwa kinuka chupi, bitch n.k wakati walikata mauno wote, angejua ana familia angejiheshimu au anunue malaya wa usiku mmoja avae condom ngumu.
Mi siyawezi ya Hamisa ila anayeweza ukizaa na mtu usifiche awajibike kwa mauno yako ova.
Mnooo...Aisee nipo Japan huku na sielewi kiswahili vizuri ila kwa hili Hamisa ni fala!!!
Kuwa recognised na kusababisha mtafaruku kitu ambacho kimempunguzia benefitsBigup kwa hamisa. Hatimae mwanae kawa recognised publically.
Nilidhani nimewaza vibaya kwa kweli no ujinga Wa kiwango cha lami .. Hasa kwa lengo LA kuharibuyani kulala na mwanaume/mpenzi wa mtu ni ujinga...kulala nae na kukubali kufanywa dry ni uzwazwa doh..
Kakutana na mtaalam usikute kamtegeshea makusudiKinachoonekana huyu mondi kazoea gonga nisepe kama alivyofanyia wengine sasa kakutana na luba safari hii wacha aisome namba kwanza
Nilishawah kuliongelea hilo kweye uzi unaomhusu,Kwani zari kaolewa?
Je diamond angemkana leo asingekua mtoto wake?Kila mtanzania na mtu yeyote popote Leo hii anajua mtoto wa Hamisa ni Abdul Naseeb na sio Abdul asiyejulikana. Huo tu ni ushujaa baada ya kukataliwa hadharani na hayo Mengineyo ya matunzo sheria itachukua mkondo wake pale Diamond ataposhindwa kufanya hivyo maana Ustawi wa jamii wapo kwa ajili yao