Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Nahisi atakualika ukaburudike na mkuyenge kwa raha zako!

Bora ubadili swali.
 
amezaa naye sana ila kanaboa haka kabwanamdogo kanakula papuche mwanzo mwisho
 
Seduce me haijahitaji kiki kufika 5M views ndani ya 18 days, kwakweli kiba na mama yake wanabusara sana sio bi Sandra kila mkwe ye anampokea anakuwa upande wake, domo anapotea so far nyimbo zake week tu zinazima
Anachofanya Mange kwenye mchango wa Lissu ni mjinga pekee atakataa kwamba views za Seduce me zina nguvu kubwa kutoka kwake na ni part of the kick
 
Kwahiyo ulitaka azae na wewe ili usiumie?
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] pole sana we mchukie tu mi ntakua die hard fan wake akubali tu mtoto
 

Je akimkana mtoto alafu baadaye ithibitike ni mtoto wake??

ulianza kumshabkia Diamond baada ya kuanza mahusiano na Zari??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…