Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi ntaskia hapa hapa maana redio sinaDiamond mtu wa shombo sana..... sasa sijui leo atatema shombo gani
Vyovyote vile ni sawa lakini tukubali maisha ya diamond yana impact kubwa kwenye muziki wake, by the way mimi ni team domo all the way but seduce me nimeielewa piaAnachofanya Mange kwenye mchango wa Lissu ni mjinga pekee atakataa kwamba views za Seduce me zina nguvu kubwa kutoka kwake na ni part of the kick
Kwa mwanamke ambaye ana mtu wake awe mume au mpenzi ambaye watu wote wanafahamu mahusiano yao alafu mwanamke mwingine akatembea na mume/mpenzi wako ilihali anajua mahusiano yenu aisee inauma sana ,na wengi wanaomsapoti hamisa ni michepuko na wadangaji,pole zariKama atathibitisha kuzaa na Hamisa nadhani ndio utakuwa mwanzo wa kuanza kuporomoka kisanii. Watu wengi sana wameumizwa na hili suala. Na wengi sana walimpenda Diamond alivyokuwa na msimamo juu ya Zari. Lakini kuzaa na Hamisa ni kama kumtusi Zari. Binafsi nitakuwa hater wa Diamond endapo atathibitisha kuzaa na Hamisa.
Rais anahutubia Taifa [emoji2] [emoji2] [emoji2]saa 10:30
washaintroduce kuwa leo watakuwa na diamond. na inaonekana hii interview inasubiriwa sana kwa sababu wamesema wanaungana na clouds tv. sasa hivi zinapigwa ngoma katika kusogeza sogeza muda. now linapigwa dude la young killer ft harmonize.
saa 10:45
inapigwa ngoma ya ben pol..kidume.
saa 10:47
inapigwa ngoma ya joh makini ft. davido. tuendelee kusubiri
Update nyingine kufuata.
mwenzangu mimi mwenyewe sitoki hapaMi ntaskia hapa hapa maana redio sina
[emoji23][emoji23]yan watu walivo attention khaRais anahutubia Taifa [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mshangae huyo!Unataka kujua ukubwa wa dyudyu ya mwanaume mwenzio?
[emoji106]Yaani mtu amkatae mwanae kisa tu apendwe na wewe!? Mbona babako hakukukataa wewe ili awafurahishe walimwengu ambao hawakupenda kuzaliwa kwako
Acha tu Mdogo wangu! Watu hawajui uchungu wa mtoto wanalopoka tu hapa,hivi kwani wanadhani wanaume wenye ndoa zao wanaozaa watoto nje ya ndoa na kuwatunza ni wajinga? Wanaogopa fedheha kama hizi[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Dada kunywa soda kwa mangi bill kwangu
Yaani mijitu mijinga sijawahi ona
Kama atathibitisha kuzaa na Hamisa nadhani ndio utakuwa mwanzo wa kuanza kuporomoka kisanii. Watu wengi sana wameumizwa na hili suala. Na wengi sana walimpenda Diamond alivyokuwa na msimamo juu ya Zari. Lakini kuzaa na Hamisa ni kama kumtusi Zari. Binafsi nitakuwa hater wa Diamond endapo atathibitisha kuzaa na Hamisa.
Nadhani drama ndio zimempandisha dogo tukubaliane na nahisi ndio zitamshusha but kuna kundi la haters liko tayari hata kitu positive kiwe negative kama huyu Hamisa anadhani watu wanamsupport sababu wana muhurumia kumbe wanamtumia kumuumiza domo, sidhani kama itamsaidia baadae kwenye mahusiano yeyote atageuzwa kuwa kiburudishoVyovyote vile ni sawa lakini tukubali maisha ya diamond yana impact kubwa kwenye muziki wake, by the way mimi ni team domo all the way but seduce me nimeielewa pia
Kumbe majibu DNA yameshatoka? Kukwich kwich sio kujaza mimbadai bwana na nyimbo aliimba eti anasikia anaitwa Baba dully yeye ni baba nillan..... Leo kiko wapi
...unadhani Clouds wanatoa airtime ya radio pamoja na tv bure bure tu?Atakacho kijibu leo ndio kitafanya maamuzi ya hio biashara yake
kwani zari ni mke? yeye alivoamuacha mume wake na watoto watatu ? unaeona mahusiano ya zari na diamond yapo sawa sijui tukuitejeKwa mwanamke ambaye ana mtu wake awe mume au mpenzi ambaye watu wote wanafahamu mahusiano yao alafu mwanamke mwingine akatembea na mume/mpenzi wako ilihali anajua mahusiano yenu aisee inauma sana ,na wengi wanaomsapoti hamisa ni michepuko na wadangaji,pole zari