Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Mtu anaigiza hadi rafiki wa Esma mbele ya Zari alafu anategemea awekwe mtt hadharani! Angepigania kabla ya mimba yeye kwanza atambulike hadharani
 
Mtu anaigiza hadi rafiki wa Esma mbele ya Zari alafu anategemea awekwe mtt hadharani! Angepigania kabla ya mimba yeye kwanza atambulike hadharani
Point..... asingekubali hayo makubaliano ya uprivate toka mwanzo au basi asingejiweka kabisa sababu leo kaishia kuonekana Malaya tu.
 
Hahahaaa mkuu ushajiingiza mwenyewe kwenye mtego, sasa kama mlifanya wawili kwann na suala la mtoto lisiwe la wawili , kwa maelezo ya mond ni kwamba hamisa alipomwambia ana mimba alikubali na akawa anampa matunzo, rav 4 mpya imenunuliwa kwa ajili ya kwendea clinic, 70k per day .. What else hamisa anakitaka ?? Kuolewa?? Public haisaidii chochote mm ni mwanamke ila alichokifanya hamisa ni cha kifala sana angezaa na mtu ambae yuko single halafu baba anafanya siri sawa lkn kazaa na mwanaume mwenye familia halafu anataka kuweka public huu ni uswahili
 
Mshamba hawez kuelewa mkuu
 
Baadhi ya maneno ya Diamond kwenye kipindi cha Leo Tena kupitia Clouds Fm...

Lakini pia wamesema watamtafuta na Hamisa Mobeto ili kuwe na usawa katika mahojiano hayo maana kwasasa itaonekana pande moja ndio imehojiwa alafu wengine hawajahojiwa inakua sio sawa...


 
Na wewe wakane basi wanao, sikuelewi unajustify nini
Nachojaribu kusema unapotaka kuzaa na mtu mwenye mke au main chick follow the rules! Ndio maana huwa kuna wanawake wazuri wanashangaa wanawake wa kawaida alafu wanayatoa maisha kwa u side chick sababu ni wapo smart na mpango kando ila wewe inaelekea ukitoka na kigogo mtaa mzima wanajua kesho tu anamega mara ya mwisho anasepa ila akigundua una privacy unayatoa! Kwa mtindo huo huo ukizaa tulia sio unatafuta dada wa bwana au mama unamwambia, utapelekwa na kutambulishwa with time hata kwa mkewe! Ukitaka mambo ya waziwazi tafuta wako uwe main chick! Nadhani ww na Hamisa mna akili hiyo ya kuyajua haya yote siku ya kwanza tu unayokubali kuwa mchepuko
 
Na hajawahi hata siku moja kumuongelea sehemu yoyote.
Mkuu huoni matashtiti insta Mara aimbe eneka Mara akate viuno mwisho kaamua kuvujisha picha za kitandani, hamisa ndo anaanzishaga varangati lote hilo ila anapitia kwa mashilawadu
 

Huyo Dada alishawahi kuikubali hadharani kuwa hiyo mimba ni ya Diamond?, Mabeto mbele ya video alikana hiyo mimba sio ya Diamond na akamuonyesha mwenye Mimba

Kifupi walikuwa na makubaliano yeye na Diamond, ya kumfanya huyo mtoto siri kwenye public, lakini hiyo ingefika muda inhekwisha tu na mtoto angetambulika, shida kubwa ya Wadada zetu wa Kitanzania hawana uelewa wa kutumia fursa, wako wepesi sana kushawishiwa na kukubali ushauri wa kijinga
Sasa kutoka 5mil anaenda kuambulia 200K
 
Unaweza kuonyesha wapi kwenye Public Hamisa alisema Mimba ni ya Dai?
Pengine amewambia mashost zake au ndugu ndo wanavujisha habari.Turudi kabla ya Dai hajamtuka Hamisa onyesha ni wapi alihojiwa au kuandika kua Mimba ni ya Dai.
 
Mkuu huoni matashtiti insta Mara aimbe eneka Mara akate viuno mwisho kaamua kuvujisha picha za kitandani, hamisa ndo anaanzishaga varangati lote hilo ila anapitia kwa mashilawadu
Ndo mama wa mtoto wake aliyemchagua na ndo atamuhusu for the rest of his life as wana mtoto tayari. So next time watu wawe makini kabla ya kufungua zipu zao. Ila to be honest, dai ndo alimuongelea mwenzie vibaya, Hamissa was just a desperate side kick ila kumuongelea dai vibaya, hajawahi
 
Nafikiri point yangu ilikuwa ni hii "kama walikubaliana kumfanya mtoto wa siri, at least asingemkana publicly". Angezuga tu hiyo habari. Kwanza siri ya nini? Kwa nini tuwatese watoto?

Hata Mabeto alishaikana hadharani kuwa hiyo Mimba sio ya Diamond, na akaleta na mtu kumwonyesha kuwa ndio mwenye Mimba, so Looks like makubaliano yalikiwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…