Hahahaaa mkuu ushajiingiza mwenyewe kwenye mtego, sasa kama mlifanya wawili kwann na suala la mtoto lisiwe la wawili , kwa maelezo ya mond ni kwamba hamisa alipomwambia ana mimba alikubali na akawa anampa matunzo, rav 4 mpya imenunuliwa kwa ajili ya kwendea clinic, 70k per day .. What else hamisa anakitaka ?? Kuolewa?? Public haisaidii chochote mm ni mwanamke ila alichokifanya hamisa ni cha kifala sana angezaa na mtu ambae yuko single halafu baba anafanya siri sawa lkn kazaa na mwanaume mwenye familia halafu anataka kuweka public huu ni uswahili