Obamaeli Rutajecha
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 230
- 274
Hahahaha kwahiyo huyo Mobeto anajali utu wake🙄🙄🙄Sasa kama makubaliano ni hivyo kwanini Dai alikuja kumtukana na kumita Malaya anatafuta Jina?
Pili kwako pesa ni bora kuliko utu?
So bora udhalilike upate 5,000,000/-
Sijui ndani ya moyo wake ila mimi hapa hiyo pesa nisingechukua.Hahahaha kwahiyo huyo Mobeto anajali utu wake🙄🙄🙄
Huyo mtoto asiye na hatia mama ake tu akili hana unadhani wapambe wa insta na jf tutaweza kumfanya awe na akili?Jamani hayo maisha ya hamissa atajijua mwenyewe, me sipo hapa kumsupport any of them, ila tu mtoto asiye na hatia. Kama hao wazazi wenzie wanaona hamissa hana akili, basi ndo wahakikishe wao ndo wanasimama kwa ajili ya watoto wao
Hahahahahahaahaaa huo ndo ushabiki jinsi ulivoMa C.E.O wa maisha ya watu, kuna watu wanaelezea vzur kama ndugu yan halafu ukibisha inawauma
Kapoteza kipi kwenye makubaliano yao? Mnawaza tu mali, tena angekuwa privately ndo angezidi kujazwa material things ili asiseme, ila utu ni bora kuliko kosa. Afu washakuwa wazazi, mwisho wa siku watakaa chini watapatana just for the sake of their child na maisha yataendelea (sijasema kurudiana), huyu jini mkata kamba ataondoka tu kati yao. Afu ni vyema wamlee mtoto wao kwa uhuruHapo ndio atapata nini sasa?, lengo lake kuwa public ni kwamba awe part ya Diamond ili apate chochote, au hicho anachokisema Diamond 5mil kwa mwezi,
Lakini mwisho wa siku amejulikana yeye kazaa na Diamond na kapoteza hata kidogo kilichokuwa kwenye makubaliano yao,
Narudia tena , hao wasanii wa Kitanzania wana upeo mdogo sana sana, kama lengo lilikiwa ni kumchuna Diamond si angenyamaza tu na kila kitu kingeendelea?
Ofcourse yanayompata Diamond ni matokeo ya malezi alioyapata. Nahisi pia mama yake ana influence sana katika maaumuzi yake mengi kimaisha na hii ndio shida ya mamas boy.Kwa akili hizi ndio watoto wanakua na maisha mabovu na Diamond ajifunze kwenye sakata lake inawezekana hata yeye baba yake hakumtelekeza ila mama yake alisababisha drama na kumlisha yeye sumu
Hata mastaa wakubwa kama C.Ronaldo ,Rooney wanawatoto wengi tu nje lakini mahusiano yao ni ya siri sana.
Unaweza kuprove vp mtoto anateswa...mama anapewa allowance ya laki tano kila week.jumla..millioni mbili kwa mwezi bila kodi..kwa mwaka analipwa total allowance ya millioni 24 bila kodi...alipoenda kujifungua alipewa millioni saba akajifungulia private hospital..mama akanunuliwa rav 4 mpyaa..ukiangalia kimazingira chibu alishakubali mtoto mi wake....alifanya kosa kuamini kichwani kwa hamisa kuna akili,akajua with all these benefits mwanamke yule.asie na staha angemvumilia until when time is ryt ili amwandae zarri...akili ya hamisa ni kuwa side chick tu and forever she will be...majizo alijitahidi kumpeleka mainstream...akashindwa....Nafikiri point yangu ilikuwa ni hii "kama walikubaliana kumfanya mtoto wa siri, at least asingemkana publicly". Angezuga tu hiyo habari. Kwanza siri ya nini? Kwa nini tuwatese watoto?
Kapoteza kipi kwenye makubaliano yao? Mnawaza tu mali, tena angekuwa privately ndo angezidi kujazwa material things ili asiseme, ila utu ni bora kuliko kosa. Afu washakuwa wazazi, mwisho wa siku watakaa chini watapatana just for the sake of their child na maisha yataendelea (sijasema kurudiana), huyu jini mkata kamba ataondoka tu kati yao. Afu ni vyema wamlee mtoto wao kwa uhuru
Sasa hivi ndo ameweka mazingira mazuri kati ya baba na mtoto na hata ndugu zake wa south, kila kitu kiko wazi mtoto analelewa kwa raha zake. Kwani kipi ni kibaya dai kumuweka mtoto wake wazi, me siwaelewi ujue? Hivi mtoto akikua akijua yeye ni wa sirini na akijua yeye ni wa public pia, kipi ni kizuri kwake?Huyo mtoto asiye na hatia mama ake tu akili hana unadhani wapambe wa insta na jf tutaweza kumfanya awe na akili?
Mwanamke mwenye akili hata akitereza akazaa na mtu mwenye mahusiano yake atafanya namna mwanae asikose mahitaji ya msingi, atatumia akili nyingi kuzuia uadui kati ya baba na mtoto na mtoto na nduguze akikua huko mbele then ataangalia maisha yake anatokaje bila kufungwa na kurudishwa nyuma na makosa aliyofanya.
Mwisho wa siku kama huna namna utaharibu mahusiano yale mengine sababu mwanaume kashasema msijuane na huleti chokochoko ni rahisi mtoto wako kukubalika bila kinyongo na familia ya upande wa pili. Kukiwa na chokochoko nyingi hata mtoto atachukiwa.
For as long as ulianza kama main chick kuwa na mtoto sio guarantee wewe kuwa main.... watu wapambane na hali na kuacha kuparamia wanaume wakware
Sina uhakika kwa kweliKwa kweli utu ataupata, hivi mtoto wake wa kwanza bado anaye yeye au yupo kwa baba yake?
Ndio kuanzia leo ujue kuna zaidi ya msikitini na kanisani usije ukapata aibu mbele ya safari kwa kumchukua mtu ukadhani kwa vile hajaoa kidini hauambiwi kitu utawekewa pingamizi mbele ya kasisi au Sheikh uaibike! Mwanamke mwenye akili hawezi kukubali kufichwafichwa unless amekebali masharti na hapo ndipo ninapowashangaa mnaomtetea Hamisa kama alikubali kufichwa and so is mtoto! Unamjua mama wa watoto wa Ronaldo mchezaji? Amekubali kuwa anonymousMe naijua ya kanisani na msikitini teh, afu uzuri Dai ni muislam so ana ruhusa ya kuoa wake wanne. Me shida yangu ni mtoto tu awe recognised publicly, hayo mengine watajuana tu, waoane wasioane shauri zaoooooooooo
Mtoto anateseka psychological sio physically. Kama unataka kuprove how, basi na wewe mkane mwanao publiclyUnaweza kuprove vp mtoto anateswa...mama anapewa allowance ya laki tano kila week.jumla..millioni mbili kwa mwezi bila kodi..kwa mwaka analipwa total allowance ya millioni 24 bila kodi...alipoenda kujifungua alipewa millioni saba akajifungulia private hospital..mama akanunuliwa rav 4 mpyaa..ukiangalia kimazingira chibu alishakubali mtoto mi wake....alifanya kosa kuamini kichwani kwa hamisa kuna akili,akajua with all these benefits mwanamke yule.asie na staha angemvumilia until when time is ryt ili amwandae zarri...akili ya hamisa ni kuwa side chick tu and forever she will be...majizo alijitahidi kumpeleka mainstream...akashindwa....
Bora we umesemaKwakweli mimi hata uzuri wake siuoni namwona wakawaida sana,au macho yangu ndo yanashida?
Teh I'm past that stage, afu sijawahi kufanyika a 2nd option coz i don't settle for less. Em mpongeze basi diamond kwa kumkubali mtoto wake publicly, huo ndo uanaume na ubaba sasa. Mwanamke sio ndugu yako so ukiweza mkane tu, sio uikane damu yakoNdio kuanzia leo ujue kuna zaidi ya msikitini na kanisani usije ukapata aibu mbele ya safari kwa kumchukua mtu ukadhani kwa vile hajaoa kidini hauambiwi kitu utawekewa pingamizi mbele ya kasisi au Sheikh uaibike! Mwanamke mwenye akili hawezi kukubali kufichwafichwa unless amekebali masharti na hapo ndipo ninapowashangaa mnaomtetea Hamisa kama alikubali kufichwa and so is mtoto! Unamjua mama wa watoto wa Ronaldo mchezaji? Amekubali kuwa anonymous
Kama mama yake alimkana baba yake mbele ya kadamnasi huyo mtoto ahathiriki? Kuna clip Mobeto anaulizwa una uhusiano na Diamond akasema no na akaulizwa una mimba ya Ndomo akasema No! Huyo Mobeto ametoa boko mteteeni tuMtoto anateseka psychological sio physically. Kama unataka kuprove how, basi na wewe mkane mwanao publicly
At least umeielewa situation vyema, KE wengi wanadhani diamond kamkana makusudi mtoto then wanatoa povu. Kilichotokea ni sawa uzae na mume wa mtu halafu ukamfanyie fujo mkewe...sio poa yani!Hahahaaa mkuu ushajiingiza mwenyewe kwenye mtego, sasa kama mlifanya wawili kwann na suala la mtoto lisiwe la wawili , kwa maelezo ya mond ni kwamba hamisa alipomwambia ana mimba alikubali na akawa anampa matunzo, rav 4 mpya imenunuliwa kwa ajili ya kwendea clinic, 70k per day .. What else hamisa anakitaka ?? Kuolewa?? Public haisaidii chochote mm ni mwanamke ila alichokifanya hamisa ni cha kifala sana angezaa na mtu ambae yuko single halafu baba anafanya siri sawa lkn kazaa na mwanaume mwenye familia halafu anataka kuweka public huu ni uswahili
Wewe mbaba, me nalog off jamani teh. Naomba usiniquote tenaKama mama yake alimkana baba yake mbele ya kadamnasi huyo mtoto ahathiriki? Kuna clip Mobeto anaulizwa una uhusiano na Diamond akasema no na akaulizwa una mimba ya Ndomo akasema No! Huyo Mobeto ametoa boko mteteeni tu
Ahahaha stupid indeedHow do you pride yourself for being a Whor**? Wanawake wa kiTanzania ndio tumejishusha kiasi hiki jamani. This is just sad. Eti mwanamke mjanja, mchukulie mmewe. Why not find your own man, stupi***!