Trayvess Daniel
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 651
- 1,244
Tuishie hapa hatutaweza kuelewana. Motive ya Hamisa ipo clear kabisa why alitaka mtoto awe public which was not malezi ni ujinga tu wa Instagram. As a matter of fact hakuna mtoto wa maarufu na maarufu atafichika forever rather wangeagree diplomatic way ya kusolve issues for the baby na sio huu ujinga alofanya.Sasa hivi ndo ameweka mazingira mazuri kati ya baba na mtoto na hata ndugu zake wa south, kila kitu kiko wazi mtoto analelewa kwa raha zake. Kwani kipi ni kibaya dai kumuweka mtoto wake wazi, me siwaelewi ujue? Hivi mtoto akikua akijua yeye ni wa sirini na akijua yeye ni wa public pia, kipi ni kizuri kwake?
Mtoto atatunzwa kama mwanzo na muda ukifika baba eke atamchukua, afanye hima kuzaa mtoto wa tatu child support itop up...
Uterus yake mtaji wake tatizo hana nyota ya kuekwa ndani. Aendelee tu kudanga.
Nice dayyyyy.