Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Tuishie hapa hatutaweza kuelewana. Motive ya Hamisa ipo clear kabisa why alitaka mtoto awe public which was not malezi ni ujinga tu wa Instagram. As a matter of fact hakuna mtoto wa maarufu na maarufu atafichika forever rather wangeagree diplomatic way ya kusolve issues for the baby na sio huu ujinga alofanya.
Mtoto atatunzwa kama mwanzo na muda ukifika baba eke atamchukua, afanye hima kuzaa mtoto wa tatu child support itop up...
Uterus yake mtaji wake tatizo hana nyota ya kuekwa ndani. Aendelee tu kudanga.
Nice dayyyyy.
 
Same to you swts[emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112]
 
Lulu ni master mind.... Ana akili nyingi sana na priority yake ni mama na mdogo wake... sio kama hawa wengine... angekua mjinga angeshabeba mimba siku nyingi sana
Mm nahis mamaake hamisa pia anachangia kumuharibu mwanae na kumshauri mabaya, mama ake lulu apewe sifa yake yule mama
 
Teh I'm past that stage, afu sijawahi kufanyika a 2nd option coz i don't settle for less. Em mpongeze basi diamond kwa kumkubali mtoto wake publicly, huo ndo uanaume na ubaba sasa. Mwanamke sio ndugu yako so ukiweza mkane tu, sio uikane damu yako
Kuna watoto wamekubaliwa publically lakini akina mama wanalalamika watt hawana baba! Kwangu mzazi sio jina ni matunzo
 
haya maisha ya mastaa ovyo tu,hivi mfano mimi nina mtoto wa mchepuko mama anajua ndg zangu wote wanajua ,mke wangu nishamwambia,sasa jamii inataka nini sasa ,haya mambo mengine ni vihelele vya watanzania kukosa kazi kuanza kujadili maisha ya watu,haya naona saivi kila mtu aliyempa mimba mchepuko ili mtoto akubalike muwe mnatoa matangazo kwenye gazeti au TV,kweli inchiii ya viwanda ni ndoto
 
Kuna watu wanasema Hamisa angetulia ajilie kimya kama Jack Mengi au Zamaradi lakini wamesahau Diamond hajakomaa akili kama hao wamaume wengine pia kazungukwa na ndugu waswahili ambao wangemkana Hamisa mchana kweupe endapo tatizo lolote lingetokea kwa Diamond
 
At least umeielewa situation vyema, KE wengi wanadhani diamond kamkana makusudi mtoto then wanatoa povu. Kilichotokea ni sawa uzae na mume wa mtu halafu ukamfanyie fujo mkewe...sio poa yani!
Mm nimemuelewa vizur mond kasema alimwambia hamisa abuni mradi wa biashara kwa ajili ya mtoto wao lkn kutokana na ujinga wa hamisa kaona et amkomoe zari wakati mond amesema kabisa ye hawezi achana na zari, mwishowe kaonekana mjinga yeye
 
Nacho shangaa hapa nmekaa nikapita twita insta na huku naona watu mna diskasi life ya mtu

Hii nchi bwana m naona sawa katiba iwekwe hata lais akae kama m7 tuu
Mnaacha kuwa za logic thing mnadiskas maisha ya mond kweli

This country is rotten
Kuna mgawanyo wa majukwaa.

Hizo maada unazotaka kuziona nenda kwenye majukwaa husika utakuta zinajadiliwa huko.
 
Mm nimemuelewa vizur mond kasema alimwambia hamisa abuni mradi wa biashara kwa ajili ya mtoto wao lkn kutokana na ujinga wa hamisa kaona et amkomoe zari wakati mond amesema kabisa ye hawezi achana na zari, mwishowe kaonekana mjinga yeye
Huyo hamisa ni mrahisi kuliko maelezo yani mnyama mkali yeye na maza wke,ticket ya ndege go n return unapewa mbunye na mengineo.
Mwanamke wa hivyo hafugiki kma kunguru wa dar,istoshe mama yke nae mrahisi kinoma yani unapiga mama na mtoto ngoja niishie hpa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…