Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Kwa mwanamke ambaye ana mtu wake awe mume au mpenzi ambaye watu wote wanafahamu mahusiano yao alafu mwanamke mwingine akatembea na mume/mpenzi wako ilihali anajua mahusiano yenu aisee inauma sana ,na wengi wanaomsapoti hamisa ni michepuko na wadangaji,pole zari
 
Rais anahutubia Taifa [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Dada kunywa soda kwa mangi bill kwangu
Yaani mijitu mijinga sijawahi ona
Acha tu Mdogo wangu! Watu hawajui uchungu wa mtoto wanalopoka tu hapa,hivi kwani wanadhani wanaume wenye ndoa zao wanaozaa watoto nje ya ndoa na kuwatunza ni wajinga? Wanaogopa fedheha kama hizi
 

Jinsia yako tafadhali...
 
Vyovyote vile ni sawa lakini tukubali maisha ya diamond yana impact kubwa kwenye muziki wake, by the way mimi ni team domo all the way but seduce me nimeielewa pia
Nadhani drama ndio zimempandisha dogo tukubaliane na nahisi ndio zitamshusha but kuna kundi la haters liko tayari hata kitu positive kiwe negative kama huyu Hamisa anadhani watu wanamsupport sababu wana muhurumia kumbe wanamtumia kumuumiza domo, sidhani kama itamsaidia baadae kwenye mahusiano yeyote atageuzwa kuwa kiburudisho
 
dai bwana na nyimbo aliimba eti anasikia anaitwa Baba dully yeye ni baba nillan..... Leo kiko wapi
Kumbe majibu DNA yameshatoka? Kukwich kwich sio kujaza mimba
 
Dah yan upenzi mbaya sana, ila nimejua nimempenda sana diamond sababu ya zari. Hichi kitu kilivyoniumiza kama zile goli tano tulizopigwa na simba au siku asamoah alivyokosa goli kombe la dunia lilee basi na leo nitamaliza upenzi huu kama nilivyoacha kuupenda mpira.
 
kwani zari ni mke? yeye alivoamuacha mume wake na watoto watatu ? unaeona mahusiano ya zari na diamond yapo sawa sijui tukuiteje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…