Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Ooh sasa baba hajielew na mama hajielew Prince dully atakuwa mtoto wa aina gan? Hahahahahaha!
 

Mbona yeye Hamisa alihojiwa hapo nyuma akakiri mimba haikua ya Diamond? Huo ulikua mpango wao. Sasa kama alichange mind, kilichomfanya akubali mwanzo ni nini?
 
Ila hata kama ni muongo at least yeye ame dare to tell a tale. Mie namuonaga ni mkweli I lov them both kiba and dimond sina timu.
I just love them either but kwa hili amenidis a point sana, Mara mia angeendelea kukataa kkwenye media afu wakayamalizie home..siyo kwa kukataa kule aisee
 
hahaaaaa He loves Zari saaana..........
sema mtoto wa Tandale alibugi akakutana na mtoto wa Tandika Hamisa
Ndo hapo tujue kuna main chick na side chick. Main chick hupendwa mnooo yani kwa nguvu zote.
 
Hapo no2 mbona wanaume karibia wote wapo hivyo? wanasaliti hata wake zao wanaojulikana na muumba sembuse huyo anayejulikana na public
 
Kweli JF imevamiwa.Hakika Sijakua kama kukua ni kukataa mtoto mbele ya jamii.hakika sitakua maana nimefundishwa makosa mawali hayasawazi mambo, Pia kuheshim utu zaidi.na kukubali makosa.
So kabwe sitaweza kukua maana siwezi kumkana mwanangu na baada miaka kumi tu atakuja kusikia na kuona baba yake nilimkana mbele ya jamii na itamfanya kushindwa kubeba ubini wangu kwa kujiamini mbele za watu.
 



Diamond achana mikeka, oportunity ya watu kupiga pesa, Mh Raisi aombwa kufanya jambo, Vipi kuhusu leo kua Public holiday..
yote hayo yako ndani mchambuzi amechambua kwa kina kabisa tumskize kwa makini

Mapenzi ni kikohozi huwezi kulificha ila la Mobeto ni chafya. yaani Mond kajaribu ila kashindwa leo kayasema yote sasa skiza uchambuzi wa yote yalojiri hapo juu na analysis za kibabe..
 
Speak for yourself

Am humbe
 
Kwani tatizo liko wapi zari kazaa watoto na wanaume wawili na mond na yeye kazaa watoto na wake wawili.. ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…