Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
Chibu sio mjinga unafikiri mpaka hapa ilipofikia hajasawazisha kwa zari? mapenzi hayana fomula usijifanye sheikh yahaya utaumbuka...Kama atathibitisha kuzaa na Hamisa nadhani ndio utakuwa mwanzo wa kuanza kuporomoka kisanii. Watu wengi sana wameumizwa na hili suala. Na wengi sana walimpenda Diamond alivyokuwa na msimamo juu ya Zari. Lakini kuzaa na Hamisa ni kama kumtusi Zari. Binafsi nitakuwa hater wa Diamond endapo atathibitisha kuzaa na Hamisa.
Ushabik sawa, lakin utakuta mtu kutwa nzima story ni zile zile ukichek mfukoni hana hata buku2 yakulaHahahahahahaahaaa huo ndo ushabiki jinsi ulivo
Wewe hujawai saliti mapenzini nduguHahahaaah kweli mondo ovyoo kabsaa
Kuchukua urithi.Zarina hassan huwa anafanya biashara gani?
Mkuu inaonyesha umedata na hayo mapozi kwenye picha...ouky BTW mobeto ni mzur mno.Kiukweli licha ya kutoipenda couple ya Dai na Mobeto lakini huyu Mobeto anaonekana ni mtamu sana kitandani kuliko mademu wote aliotoka nao Diamond.
Licha ya Mobeto kutokuwa na sifa ya wife material kutokana na ukweli kwamba ni mfujaji hodari wa mali , kupenda starehe kupindukia pia uswahili uliomjaa lakini ukweli unabaki pale pale huyu Mobeto ni moto wa kuotea mbali likija suala zima la kitandani .
Hawa wengine kama vile Wema,Wolper ,Zari ,Penny ,Jokate nk ni wazuri pia ila kwa Mobeto wanasubiri sana .
Ila yote kwa yote Mobeto ni msichana wa Ku eat and run si msichana wa kumuweka ndani kama mke.
Mkuu, ukiwa mzoefu wa haya mambo unaweza kumjua demu mtamu hata kabla hujashiriki naye hilo tendo.Kamanda umewatafuna wote hao hadi upime ubora wao?
Ukiwa mzoefu hupati shida kumjua demu mtamu hata kwa kumtazama tu.Atafune mwingine utamu ujue wewe
Katika tasnia hii ya mapenzi Diamond sijawahi sikia madem zake wakilalamika kuhusu huduma...Tusi judge sana kwa kusikiliza stori upande mmoja ngoja Hamisa aitwe tubalance story tuone Nani mjinga kati Yao usikute ahadi zilikuwa hewa hazikutimilizwa je
Au aliahidiwa makubwa zaidi je tuliza munkari
Hahahahahhahahahahaa ila kweliUshabik sawa, lakin utakuta mtu kutwa nzima story ni zile zile ukichek mfukoni hana hata buku2 yakula