Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Leo msanii Naseeb Abdul Aliteka masikio ya watanzania na mashabiki wengine Duniani kote kwa mda wa masaa mawili wakati akihojiwa na kituo cha Clouds fm kuhusu mambo mbalimbali yanayohusu maisha yake ikiwemo tukio lililovuta watu wengi la Diamond kuzaa na Hamissa mobetto

Je kwa tukio hili la leo Diamond ndiye msanii mwenye nguvu zaidi?
 
Talaka ya serikali labda, japo haiandikwi kama talaka ni kugawana mali tu walizochuma pamoja. Adai talaka Misa aolewe
 
Kisheria ukishakaa na mwanamke kinyumba kwa miezi 6 na zaidi, inajulikana ni mwenza wako, sasa Zari hadi kafumuliwa Engines zake zote mara 2 lazima sheria itamchukulia kama mke na atadai fidia almost sawa na mke endapo atataka kumwacha Diamond
 
Hakuna kitu kama hicho....unaweza kukazaa watoto kibao na mwanamke lakini kama hujamuoa hana cha kugawana na wewe...ni busara tu ndio zinaweza kutumika...kumpa chochote....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…