swahiba Senior
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 2,478
- 3,628
Haya ya ubuyu ndo mambo yetu hasa wabongo Vi_wonder tupa kulee Uzi bado unatembea teee teee teeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Talaka ya serikali labda, japo haiandikwi kama talaka ni kugawana mali tu walizochuma pamoja. Adai talaka Misa aolewe
Hakuna kitu kama hicho....unaweza kukazaa watoto kibao na mwanamke lakini kama hujamuoa hana cha kugawana na wewe...ni busara tu ndio zinaweza kutumika...kumpa chochote....Kisheria ukishakaa na mwanamke kinyumba kwa miezi 6 na zaidi, inajulikana ni mwenza wako, sasa Zari hadi kafumuliwa Engines zake zote mara 2 lazima sheria itamchukulia kama mke na atadai fidia almost sawa na mke endapo atataka kumwacha Diamond
hahahahaha muhindi nani mkuu baba diamond, mtoto au mama mtoto? nyie watu bwana hahahahaNi muhindi?
Jamani badaeIla mama yake Hamisa anaonekana mtamu sana.. Yuko ki chips chipssss ngoja nimlie timing.. Walaah