Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Mmhh kazi ipo. Sasa ataishia kuwa mchepukooo au atahold tittle ipi. Ila ana kisimati naona ana bahati ya kuzalishwa na wenye mikwanja hongera zake
 
Kwa maneno machache sana. Namshauri Diamond ajaribu kutenganisha maisha yake binafsi na familia yake. Sababu kwa hili la Mobetto ni wazi ndugu walishamkubali Mobetto...

Kuzaa nje sijambo la ajabu, ila ni ajabu pale unaona hata wazazi na dada kuonekana kwa njia moja au nyingine walipendezwa nalo...

Badala ya kulikemea kwa nguvu zote... kwa hili ni uchafu tena kwa familia yote...
 
Kuto.mba.to.mba hovyo ndo madhara yake haya unaishia kupata aibu tu.
 
Demu ukim-cheat ndugu zake wanakuona mbuzi au nguruwe kabisa. Hii kitu muisikie hivyo hivyo tu.

Haaaaa.. Ndio hapo sasa, mke wako akijua wazi kabisa umemcheat hadi umemletea mtoto ni message kubwa sana kwake kuwa hafai na hakutoshelezi.. Alafu hamuangaliani usoni kwa muda mrefu unakuwa kama mwiziiii amani hakunaaaaaa... Alafu unasingizia shetani wa watu kama Dai... Eti shetani.. Yaani genye linamsukuma kumtafuna Hamisa alafu anamtupia lawana shetani.. Haaaa, kuna siku shetani atakataa kubeba mizigo ya watu aiseer.. Haaa
 
Hiyo zari si alijipeleka mwenye we,Allilazimishwa?waacha awapasue tu
 
Nasikia dai anakojoaga hela.....waliokaribu wathibitishe tafadhari
 
Sakata la Diamond na Hamisa limenipa funzo kubwa sana kwenye kuchagua mahusiano na hasa kuwa mwanagalifu na mtu ambaye unajua unapita tu. Ni bora kutulia na familia yangu.
Mkuu huwa wanakuja wenyewe,wanawashwawashwa sana
 
Ayaaaa.. Wazima?

Am trying to imagine, mara paap Zari kesho kaamua kutaka TALAKA kwa nguvu, and harudi nyuma, sbb kaona dunia nzima imejua kuwa Diamond ni cheater..

Diamond atatia akili, sbb Zari atamfilisi haki ya nani.. Haaaa
Talaka inaombwa katika mahusiano ya namna gani... Mpenzi anaweza kuomba Talaka? Can Hamisi seeek divorce from Diamond? Can Zari seek divorce to Diamond? Ndo za siku hizi zimekuwa za namna yake
 
Talaka inaombwa katika mahusiano ya namna gani... Mpenzi anaweza kuomba Talaka? Can Hamisi seeek divorce from Diamond? Can Zari seek divorce to Diamond? Ndo za siku hizi zimekuwa za namna yake


Haaaa weee Hamisi hajazalishwa na Diamond.. Haaa
 
mkuu nadhani umeshaanza kumchukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…