Na hiyo ndo ilikua busara nzuri bila kuathiri familiaDaah!I wish wangeelewa unachosema yy kwa kua ni maarufu asingekataa from the very first stage rather he would apologize ingekua nzuri zaidi
Haya sasa hili nalo lipite lije lingine
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Dada yako akienda kumtunza tuu staging,jiandae kulea mjombaUnajua wamekuwa wakikutetetea sana kwa hali na Mali lakini haubebeki. Kiukweli unawatesa na huku mtaani tumebaki tunamuona timu Diamond kama zezeta Fulani kwani kwa namna unavyowachezea akili na kuwafanya kama hawanazo, inahitaji akili ya tope kwa MTU kuwa shabiki wako.
Nimeamua kuongea kwa ufupi ila najua ujumbe umefika barabara