Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake


Yaan Watu na Minyege na Mitamaa Yao Wanapandana wakimaliza hamu zao Wanamsingizia Shetani,

Shetani kachoka kusingiziwa kila Kiumbe kibebe Msalaba wake
 
Aaaghh,anawasimamisha nyie washamba wenzie msio na kazi kutwa kutafuta umbea mitandaoni.niache kutafuta vitabu vya kina G White na Ben Carson au Economics portals nitafute habari za watu kuzini.sucker?
Inamaana mpaka umekuja kuchangia kwenye huu Uzi ni uthibitisho tosha kuwa huwa unamfatilia
 
Aaaghh,anawasimamisha nyie washamba wenzie msio na kazi kutwa kutafuta umbea mitandaoni.niache kutafuta vitabu vya kina G White na Ben Carson au Economics portals nitafute habari za watu kuzini.sucker?
Heading inahusu Diamond umekuja Mbio kusoma Umbea halafu unajifanya kutukana Wambea!
Tofauti yako na Wambea wengine wao wanajijua Wambea lakin Wewe ni Mmbea na Mshamba usiyejitambua
 
Mpaka sasa hivi bado sijaona msanii maarufu hapa Tz kama Diamond, kwa hii skendo tu eti hadi BBC ya kiswahili wamemuandika huko kwenye page yao ya facebook!

Yani Diamond ndio wa kuwafanya watu kuacha kazi zao na kukodolea macho katika tv kwel?
Mkuu unaposema nchi kusimama unaamanisha nini watu awakufanya kazi Leo au Nyie wa vijiweni Leo amkutoka
 
We timu diamond nini mbona unatusemea na wengne tusiofuatlia
 
ckujua kama kwenye kila show ya simba kuna kifungu cha mwana mama mpigagi
shikamooo mwanamke
 
Unaongelea ukiwa wapi kwa mfano, unaposema nyimbo za diamond zimezima? watu wana rindima na zilipendwa huku kijijini, mambo ya seduce hawajui ndo nini, seduce huko kwenu Bongonyo tu.
Mwambie aende tena kuangalia Views hahaha
Kufika Tar 21 hana jipya
 
And the winner is Mobeto
Leo mimi naona winner mond.
Maana team ex walikuwa wamejiandaa amkane wavujishe zaidi wengine wameshauri akikana hamisa apige simu.
Lakini bila kutegemea kakubari, so hata picha na msgs ambazo hazijavuja havina tena maana unless kama kuna msgs anamdiss zari kwa hamisa.
Kama kuwaua leo kawaua weapons zao kazi neutralize now mabomu yamegeuka fimbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…