Diamond sasa anawakilisha wakware,wachepukaji,wazinzi,waliozaa nje ya ndoa...wasiotumia condom...
ni chereko kwenye hii jamii ya 'Bahati mbaya' au 'shetani alinipitia' au 'na mie ni binadamu'
tena.. 'nitatembea kwa magoti hadi south..'
na kama haitoshi... 'mke wangu (zari) ni mwelewa ndio maana nampenda zaidi..' by Diamond
Yaan Watu na Minyege na Mitamaa Yao Wanapandana wakimaliza hamu zao Wanamsingizia Shetani,
Shetani kachoka kusingiziwa kila Kiumbe kibebe Msalaba wake