Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Mleta mada inaelekea ushampiga bao kadhaa za chooni ndio ukaandika hapa. Hizi threads za nyege hizi.
 
Ngoja tuone kesho Hamisa nae atasemaje...
Je kuna utofauti na alivyosema jamaa leo...
 
Sasa hamisa c anajua jamaa ana mke cjui mzazi mwenzie wanaishi wote yy yupo km mchepuko tu kaambiwa afikirie biashara gani ya kufanya kazubaa tu kapewa gari akawa anapewa almost lak5 kwa wk kazubaa tu kaambiwa apige kimya kakubali bt kupitia kazubaa kwake kayatoa maneno nje sasa unataka nn diamond alijionyesha kua yupo tayari kuweka pesa kwa hamisa ila yy akaona kuwafitinisha na zarina ndo litakua swala jema kwake
 

Ndoa ipi Mondi aliowa lini? Hata miezi Sita kukaa pamoja hawajawahi zaidi ya wiki 2
 
Lingine litakuwa la dillish methew natabiri: dilish atatumika kama video queen wa wimbo wowote mpya wa diamond then safari ya mapenzi itaanzia rasmi hapo japo kwa siri sana
Safari ya mapenzi ipi tena?hivi kulala na m'ke chumba kimoja zaidi week
1 hotel tofauti bado unasubur flash light uamini ndo umepigwa picture?
 
Kwa hiyo Hamisa kosa lake ni nini?
Tena madale wanamshukuru sana Hamisa kwa kufanya vile maana sasa wana Uhuru na mtoto wao.
Wewe unadhani Diamond angekubali lini ?
Kumwambia zari kamwambia juzi baada ya kutangazwa kwa interview,
Hela si chochote ila Uhuru na mtoto ndiyo muhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…