Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, ukiwa mzoefu wa haya mambo unaweza kumjua demu mtamu hata kabla hujashiriki naye hilo tendo.
Nashuhudia ukali wa mbea hapa.Mpumbavu wa level ya PHD ww. Hayo mavitabu uliyoyataja a meting Ngiri?... Km si kufuata mambo ya watu ni nn?. Na pia ni just theoretical research akija mwengine aka criticism Uta semaje?... KM KWELI NI MUUNGWANA HUWEZI ZUIA HISIA ZA WATU KTK KITU AMBACHO WANAAMINI KINAWAFURAHISHA... **** ww
Tulia wewe,hata huku celebrity kuna mambo muhimu ya celebrities yanajadiliwa. Mafanikio na harakati zao,tatizo mbea unakariri kila kilichopo huku ni umbea.Acha kujibaraguza, unakuja hapa unatamba kuwa huna huo muda unajisifu kuwa uko busy na vitabu vya G white sijui na nini.
Kwani hivyo vitabu vinapatika celebrity forum? Kubari tu unafuatilia habari za watu acha kujifanya wa mbele kwa kujipa moyo.
Kitu gani ulicho preach humu zaidi ya kujisifu kusoma vitabu kwenye habari ambayo haihusiani na vitabu.
Kukua ni kuishi kwingi na kuishi kwingi ni kuona mengi!!!Kweli JF imevamiwa.Hakika Sijakua kama kukua ni kukataa mtoto mbele ya jamii.hakika sitakua maana nimefundishwa makosa mawali hayasawazi mambo, Pia kuheshim utu zaidi.na kukubali makosa.
So kabwe sitaweza kukua maana siwezi kumkana mwanangu na baada miaka kumi tu atakuja kusikia na kuona baba yake nilimkana mbele ya jamii na itamfanya kushindwa kubeba ubini wangu kwa kujiamini mbele za watu.
nazani ni kutegesha mimba kwa wenye mikwanja lolMmhh kazi ipo. Sasa ataishia kuwa mchepukooo au atahold tittle ipi. Ila ana kisimati naona ana bahati ya kuzalishwa na wenye mikwanja hongera zake
Kwani hajavuruga?Hiyo inaitwa,, mission field, lazima anajuta Sana huko aliko, hamisa, alijua atavuruga mahusiano ya domo na zali,
Sasa kwanini uliamua kucomment post ambayo unaona haina umuhimu ni umbea.Tulia wewe,hata huku celebrity kuna mambo muhimu ya celebrities yanajadiliwa. Mafanikio na harakati zao,tatizo mbea unakariri kila kilichopo huku ni umbea.
Asingekataa kwa nani?! Kwa kina Soudy Brown, au?! Kama umefuatilia yale mahojiano, Diamond hakuwahi kukataa na ndio maana tangia mwanzo alikuwa anahudumia!Daah!I wish wangeelewa unachosema yy kwa kua ni maarufu asingekataa from the very first stage rather he would apologize ingekua nzuri zaidi
Sasa mkuu ina maana vitabu vya kina G White na Ben Carson ulitarajia kuvikuta kwenye uzi wa Diamond, au?!Aaaghh,anawasimamisha nyie washamba wenzie msio na kazi kutwa kutafuta umbea mitandaoni.niache kutafuta vitabu vya kina G White na Ben Carson au Economics portals nitafute habari za watu kuzini.sucker?
Dada hii avatar yako kuna mtu inampendeza humu JF naomba muachie tuu tafuta nyingineHamisa alitaka cheo kwa nguvu sasa kadhalilika maskini