Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Umeona eee!!! Kiba juzi kati anatembelea mitaa ya post, samora na hakuna wa kumshobokea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mpumbavu wa level ya PHD ww. Hayo mavitabu uliyoyataja a meting Ngiri?... Km si kufuata mambo ya watu ni nn?. Na pia ni just theoretical research akija mwengine aka criticism Uta semaje?... KM KWELI NI MUUNGWANA HUWEZI ZUIA HISIA ZA WATU KTK KITU AMBACHO WANAAMINI KINAWAFURAHISHA... **** ww
Nashuhudia ukali wa mbea hapa.

The problem with closed minded person is that his mouth is always open. Unataka kunilazimisha kuwa mbea?
 
Acha kujibaraguza, unakuja hapa unatamba kuwa huna huo muda unajisifu kuwa uko busy na vitabu vya G white sijui na nini.
Kwani hivyo vitabu vinapatika celebrity forum? Kubari tu unafuatilia habari za watu acha kujifanya wa mbele kwa kujipa moyo.
Kitu gani ulicho preach humu zaidi ya kujisifu kusoma vitabu kwenye habari ambayo haihusiani na vitabu.
Tulia wewe,hata huku celebrity kuna mambo muhimu ya celebrities yanajadiliwa. Mafanikio na harakati zao,tatizo mbea unakariri kila kilichopo huku ni umbea.
 
Sass mtu ndo ana watoto 3 tu hana bado hajaweza kumfikia hata Kiba sasa Bob marley si mlima kwake
 
Kweli JF imevamiwa.Hakika Sijakua kama kukua ni kukataa mtoto mbele ya jamii.hakika sitakua maana nimefundishwa makosa mawali hayasawazi mambo, Pia kuheshim utu zaidi.na kukubali makosa.
So kabwe sitaweza kukua maana siwezi kumkana mwanangu na baada miaka kumi tu atakuja kusikia na kuona baba yake nilimkana mbele ya jamii na itamfanya kushindwa kubeba ubini wangu kwa kujiamini mbele za watu.
Kukua ni kuishi kwingi na kuishi kwingi ni kuona mengi!!!

Walioona mengi wote wanafahamu kwamba HAKUNA MWANAUME MWENYE FAMILIA ambae eti atakuwa tayari kukubali kupiga mimba nje tena wakati jambo lenyewe likiwa bado bichi!!!

Wote waliokua na kuona mengi wanafahamu kwamba wanaume wengi wamezaa nje ya ndoa zao lakini kwa muda mrefu inabaki siri isiyofahamika na mke/hawara halali wa mpiga mimba!!!

Waliokua na kuona mengi wanafahamu kwamba wanaume huu wakilikoroga wanachofanya ni ku-accept full responsibility na kuendesha mengine kimya kimya! Na ni kutokana na ukweli huu ndio maana watoto wengi wa nje ya ndoa huwa wanaungana na familia ya baba wakati wameshakuwa wakubwa. In most cases, above 10 years!!!

Kwamba huwezi kumkana mwanao naona unapindisha ukweli! Hakuna aliyesema suala la kumkana mtoto hapa kwahiyo usipende kupotosha!!! Hoja ni kwamba, mwanaume aliyepiga meechi za mchangana atafanya siri inayofahamika na yeye, hawara aliyepigwa mimba, ndugu wa hawara, na ndugu wa mume peke yake. Atakayefichwa hapa ni mke na familia yake na lengo kuu ni kutoleta mgogoro wa kifamilia!!

Na hicho ndicho alichofanya Diamond! Alikubali mimba from the beginning, familia yake ilifahamu na familia ya Hamisa alifahamu! Alichofanya yeye ni kujaribu kumficha Zari!!!

Kwavile Diamond ni public figure, kingine alichofanya ni kuificha jamii kwa sababu, kuifahamisha jamii ingekuwa ni sawa na kumfahamisha Zari sekunde hiyo hiyo!!!

Sasa kama yote hayo huyafahamu nashindwaje kukuambia inawezekana hujakua?! Hata wanawake wenyewe endapo tunatoa suala la u-team hapa wote wanaweza kukubaliana na Mond unless mwanamke mwenyewe awe ni aina ya Hamisa! Watakubaliana na Mond kwa sababu, unaweza kuta miongoni mwao tayari wamezaa na mwanaume mwenye familia lakini bado hiyo ni siri ambayo mke hafahamu!!!

Kutokana na hilo, ndipo hatimae utafahamu JF imevamiwa na nani hasa! Mtu kama mimi au wewe!!!!
 
Mmhh kazi ipo. Sasa ataishia kuwa mchepukooo au atahold tittle ipi. Ila ana kisimati naona ana bahati ya kuzalishwa na wenye mikwanja hongera zake
nazani ni kutegesha mimba kwa wenye mikwanja lol
 
Tulia wewe,hata huku celebrity kuna mambo muhimu ya celebrities yanajadiliwa. Mafanikio na harakati zao,tatizo mbea unakariri kila kilichopo huku ni umbea.
Sasa kwanini uliamua kucomment post ambayo unaona haina umuhimu ni umbea.
Acha kuhangaika kama kuku anayetaka kutaga
 
Daah!I wish wangeelewa unachosema yy kwa kua ni maarufu asingekataa from the very first stage rather he would apologize ingekua nzuri zaidi
Asingekataa kwa nani?! Kwa kina Soudy Brown, au?! Kama umefuatilia yale mahojiano, Diamond hakuwahi kukataa na ndio maana tangia mwanzo alikuwa anahudumia!

Ambacho yeye hakutaka ni kuanika mambo hadharani wakati ndo kwanza hata kujifungua kwenyewe bado!! Hivi kabisa unaamini yupo mwanaume anayeweza kukubali hadharani eti kwa sababu tu yeye ni maarufu?! Ningekubaliana na wewe kwa 100% endapo angekuwa amemkana Hamisa wakiwa wawili wao!

Lakini Diamond mwenyewe alishakubali kitambo na kuanza kuhudumia

Familia ya Diamond nao walifahamu kwamba Diamond kampa ujauzito Hamisa

Familia ya Hamisa na yenyewe walifahamu kwamba Diamond amekubali!

Sasa ni kipi zaidi ya hayo ambacho mwanamke anahitaji?! NI nani zaidi aliyepaswa kufahamishwa mapema namna hiyo mbali na hao? Au hadi familia ya Instagram, Facebook na akina Mange nao wote ilikuwa ni lazima waambiwe from the beginning?!

Alichofanya Hamisa ni ujinga uliokusudia kuvunja mahusiano ya Zari na Diamond! Kilichomtia ujinga ni ile kuona hata huyo Zari nae ni hawara tu kwahiyo hana mamlaka kwa Diamond!! Alimuona hawara tu huku akisahau nafasi yake kwa Diamond!!!
 
Aaaghh,anawasimamisha nyie washamba wenzie msio na kazi kutwa kutafuta umbea mitandaoni.niache kutafuta vitabu vya kina G White na Ben Carson au Economics portals nitafute habari za watu kuzini.sucker?
Sasa mkuu ina maana vitabu vya kina G White na Ben Carson ulitarajia kuvikuta kwenye uzi wa Diamond, au?!

Mambo mengine tuyakubali tu!

-Inawezekana kabisa kwamba huyu jamaa ni Mswahili na anapenda uswahili kama anavyoambiwa!
-Inawezekana kabisa kwamba huyu jamaa tatizo elimu manake ndivyo inavyosemwa!
-Inawezekana kabisa kwamba huyu jamaa anapenda kiki; sawa tu!!!
-Inawezekana kabisa kwamba jamaa ni mzinzi kama ulivyosema!
-Inawezekana kabisa hili au lile; lile na hili!

Lakini pamoja na yote hayo, tukubali tu kwamba alisimamisha!!!! Mimi mwenyewe jaana nilishangaa nimeingia JF na kukuta uzi wake unakimbia isivyo kawaida!!!
 
Wakuu wa hizi kazi veep?? Ebwana jana mida fulani ya mchana nlikatiza mitaa ya uswahilini kwetu mwenyewe. Si ndio nikakuta nyomi ya watu wamekusanyika kipande cha mama zuberi cafe, Yaan km kuna msiba vile. Nami nkajisogeza kimtindo ili ninyapie yanayojiri, kumbe nyomi ilkuwa inasikiliza radio tena clouds fm kipindi cha LEO TENA. Yaan miksa madafada Aisee mazee nilichoka kdogo, Nami nkavuta kiti kimtindo ili nijue kilichowavutia wadau. Nikaagiza na maugalika ili nisiwe bored. Dah Dmond alitiririka km cherehani vile yan miksa kuomba msamaha mashabiki na mamake.

Dmond aligeuzwa chuma ulete na hamisa matumizi ya mtoto kila mwez kitu km cha jiwe tano hivi, miksa kueletewa na mipampazi na mipesa mingine ya matumizi Yaan ukipiga mahesabu kitu km cha 700 na ushee kwa mwez kinaanguka kwa hamisa. Hiyo tisa kumi kumbe kahamisa kalipewa hadi ka-rav 4 cha kuendea clinic. Watu wana pesa bhana sio wewe ukiombwa vocha milalamiko kibao.

Mr Mond anadai alifanya vile kwa madai ya mtoto, Yaan hata me nlijua hicho ndo kitakuwa kisingizio kikubwa, lakini tunajiuliza kama ndo hivyo mzee bin Laden had ulienda kulala kabisa kwa hamisa ulipoenda kumuona mtoto!!! Na unadai sio mpenzi wako utalea mtoto. Sasa mlipolala nafikiri mlivunja amri ya sita. Naona kahamisa kanajaribu kukugeuza chuma ulete kwa mtindo huu ipo siku madale utaikuta mikononi mwa hamisa mobeto. Na ile WCB ile nina mashaka nayo mana kababu tale kanajishaua kanajfanya ndo kaboss hasa safari hii mtaisoma namba kuanzia wasanii wa WCB had ww kababu tale mtakuwa Chini ya mobeto mana soon ataichukua, Mond hana kauli kwa hamisa kama mimba tu kamnunulia gari.
Wajameni ni hayo tu japo ni mechelewa kutoa info ishu ilitokea kipande cha jana lakini mtakuwa mmenisoma
f7f7c7aad568ebe389fddcd5ff31f7e6.jpg
ce64e2ec3fd859b1dd7357ab3c392ed0.jpg
. .
 
Back
Top Bottom