Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Bado mkuu, domo alisha yatengeneza kabla, baada yakuona mambo yanaenda sivyo!!!Kwani hajavuruga?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]tushampata aliepewa tenda ile ngao
Mission failedHiyo inaitwa,, mission field, lazima anajuta Sana huko aliko, hamisa, alijua atavuruga mahusiano ya domo na zali,
Nadhan diamond ni mtu wa pili kwa umaarufu Tanzania baada ya magufuliKuna Watu ukiwaambia Zari ni Maarufu kwny Jamii ya Kitanzania kuliko Lissu watakutukana japo ndio ukweli!
Wema Sepetu ni Maarufu kuliko Zitto
Diamond Platinum anamzidi Umaarufu Speaker au Jaji Mkuu wa Tanzania!
Hii ndio Jamii yetu na inapaswa tuelewe hivyo
Hahahaha labda nchi ya SHILAWADUMkuu unaposema nchi kusimama unaamanisha nini watu awakufanya kazi Leo au Nyie wa vijiweni Leo amkutoka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kabisa mkuu makosa ya smart phone.ushilawadu mbaya sana..ona sasa hata kuandika hujui
typing error brother.mission field,mkuu ar u serious
G white? sawa!!Aaaghh,anawasimamisha nyie washamba wenzie msio na kazi kutwa kutafuta umbea mitandaoni.niache kutafuta vitabu vya kina G White na Ben Carson au Economics portals nitafute habari za watu kuzini.sucker?
Ningeshauri umtafute ukae nae Kitandani mwake huku mkiwa na ' Suti ' zenu za ' Kibaiolojia ' atakupa taarifa kamili Mkuu.