Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Kuna Watu ukiwaambia Zari ni Maarufu kwny Jamii ya Kitanzania kuliko Lissu watakutukana japo ndio ukweli!
Wema Sepetu ni Maarufu kuliko Zitto

Diamond Platinum anamzidi Umaarufu Speaker au Jaji Mkuu wa Tanzania!

Hii ndio Jamii yetu na inapaswa tuelewe hivyo
Nadhan diamond ni mtu wa pili kwa umaarufu Tanzania baada ya magufuli
 
Wajikite kwenye kazi zake sio maisha yake binafsi wataumia kajamaa kapenda penda sana uswahili mwingi.
 
Aaaghh,anawasimamisha nyie washamba wenzie msio na kazi kutwa kutafuta umbea mitandaoni.niache kutafuta vitabu vya kina G White na Ben Carson au Economics portals nitafute habari za watu kuzini.sucker?
G white? sawa!!
 
Back
Top Bottom