Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Huyo ndio Mondi bhana angekuwa Kibakuli watu wasingejisumbua kumsikiliza.Naona watu hadi wanapigiana cm ili wasikie mondi atajielezaje leo, kwa namna hii, naona mondi anakuwa kama sijui nani vile, attention imekuwa kubwa!