Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Maskini hamisa polee hii nyota yako ni mbaya
Heheh final Diamond kasema hawezi kuachana na domo uwiii
Hamisa maskini si kwa kuvuliwa nguo huku na baba watoto wako, cheiiii
 
Kama atathibitisha kuzaa na Hamisa nadhani ndio utakuwa mwanzo wa kuanza kuporomoka kisanii. Watu wengi sana wameumizwa na hili suala. Na wengi sana walimpenda Diamond alivyokuwa na msimamo juu ya Zari. Lakini kuzaa na Hamisa ni kama kumtusi Zari. Binafsi nitakuwa hater wa Diamond endapo atathibitisha kuzaa na Hamisa.

Acha mbwembwe weweeee!!!!! umchukie Domo kisa kafotoa kitoto na hamisa lazima utakuwa umerogwa...huyo Zari mwenyewe mbona ana albamu tatu za nje na Domo akamkubali? Halafu nyie si ndo walewale mliokuwa mnamsakama Domo kuwa ata tiffah na nillan sio watoto wake???? ....yaaaan wabongo mmeshindikana
 
Seduce me haijahitaji kiki kufika 5M views ndani ya 18 days, kwakweli kiba na mama yake wanabusara sana sio bi Sandra kila mkwe ye anampokea anakuwa upande wake, domo anapotea so far nyimbo zake week tu zinazima
Unaongelea ukiwa wapi kwa mfano, unaposema nyimbo za diamond zimezima? watu wana rindima na zilipendwa huku kijijini, mambo ya seduce hawajui ndo nini, seduce huko kwenu Bongonyo tu.
 
Unaongelea ukiwa wapi kwa mfano, unaposema nyimbo za diamond zimezima? watu wana rindima na zilipendwa huku kijijini, mambo ya seduce hawajui ndo nini, seduce huko kwenu Bongonyo tu.
Pole mi sipo huko kubishana endeleeni kuburudika na nyimbo mnazozipenda, cheers
 
Back
Top Bottom