Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Diamond huwa anaachana na mademu zake kimya kimya kama hivyo.Anaapa hawezi kuachana na Zari, dogo kalishwa shuntama! Kwa maelezo haya Mobeto amejiharibia alitaka kuwa no1
Ndo maana nkasema bahati anayo,alichokosa ni akili na stara,huwezi ukawa na akili ukapata wanaume wa kukulea,kukutunza na kukupa nafasi ya kupata mtaji wa kufanya biashara alafu bado ukaharibu.inamaana huyo anataka kuishi kwa kutegemea punani tu.Umaarufu wa nini that's the question..
Nyota gani kupata wanaume wenye hela ila kuishia kuzalishwa, mwenzetu anatumia kizazi chake kumuweka mjini lol
Etiiii[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] huo undo uanaume huoooAmeshakubali mtoto na anatunza hahaha
Duh juzi mpoky kasema si unajua look hanaga break ya mdomo, kumbe majay analalamikaa, siku ya bday hamisa alitaka wakumbushie hehhe ila Lulu anabana kila kona, yani hamisa kula yake ni kupitia wanae lolNlipitwa hiyo ya majay kulalamika..... ilikuaje?
Bora mseme nyie...Kwakweli simlaumu, hamisa ni mchepuko mjinga sijawahi ona, nilikuwa kama naumwa toka nimeamka finally nna nguvu lol
Hahahahaha Diamond anasema kamwe hamwachi Zari...! Hamisa ataendelea kuwa mlezi aiseeeeKwakweli simlaumu, hamisa ni mchepuko mjinga sijawahi ona, nilikuwa kama naumwa toka nimeamka finally nna nguvu lol
Zari ni smart kichwan nadhani umri unachangia usifananishe na haoDiamond huwa anaachana na mademu zake kimya kimya kama hivyo.
Kumbuka waliyoachwa Penny na Jokate huwezi kutarajia kabisa yani.
Daah Dada uko vzrHakukua na sababu ya Mond kumkataa mtoto anayempa huduma kwa maneno ya kinywa chake redioni. Kitendo kile ni bora hata hiyo huduma asingetoa kwa maana hata mtoto akikua atayakuta haya tunayoyafanya Leo kwenye social media na huo uhusiano wa baba na mtoto unaousema hapa hautokua mwema si kwa sababu ya Hamisa ila ni kwa sababu ya Diamond mwenyewe, kwa maana hakuna sehemu Hamisa aliyomtukana Diamond ila Mond amenukuliwa mara kadhaa akimtukana Hamisa na mwanae.
N.B mtoto atakua tu hata bila huduma ya baba,wanawake wa Leo sio wa mwaka 47 umshushie kichapo alafu avumilie tu kisa anawaza watoto atawapeleka wapi
Hata Mimi hapa najiuliza! Kwa hiyo alitaka Hamisa aendelee kutukanwa ili yeye apone!? Sijawahi ona mwanaume mjinga kama huyu kwa kweli haya ngoja tungojee na kwa Dilish Mathew. Kweli kuna umuhimu mkubwa sana kwa Mtoto wa kiume kulelewa na Baba maana Diamond angelelewa na babake asingeshikiwa akili na mwanamke hata siku mojaNi muda tu,soon mtoto wa pili anakuja. Na kwa nini alitaka mwanae awe private ? Tofauti ya Dully na wa South Africa ni nini ?
Kabisa...amefanya vizuri na pia kulinda jina namziki wake lakini wadhamini wake pia...unajua uongo ukisema sana unakuwa ukweli..mtu unapewa laki tano kila wikiMoja Ya interview za kiutu uzima alizo wahi kufanya Diamond HII NDIO YA KWANZA
Kafanyaje tena!!??dah! Mange...!
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] aisee wanaume nyie shkamooo, domo kaua leo yani waliokuwa wanamuattack zari sijui wanakuja na lipi jipyaHahahahaha Diamond anasema kamwe hamwachi Zari...! Hamisa ataendelea kuwa mlezi aiseeee
Lazima awe mpoleMoja Ya interview za kiutu uzima alizo wahi kufanya Diamond HII NDIO YA KWANZA
Ameshathibitisha mkuuKama atathibitisha kuzaa na Hamisa nadhani ndio utakuwa mwanzo wa kuanza kuporomoka kisanii. Watu wengi sana wameumizwa na hili suala. Na wengi sana walimpenda Diamond alivyokuwa na msimamo juu ya Zari. Lakini kuzaa na Hamisa ni kama kumtusi Zari. Binafsi nitakuwa hater wa Diamond endapo atathibitisha kuzaa na Hamisa.
Mjinga yule. Itakuwa aliogopa kuharibu biashara yake ya musics.
Dai angekataa ungeona nini kingeshuka insta..Kafanyaje tena!!??