Hakukua na sababu ya Mond kumkataa mtoto anayempa huduma kwa maneno ya kinywa chake redioni. Kitendo kile ni bora hata hiyo huduma asingetoa kwa maana hata mtoto akikua atayakuta haya tunayoyafanya Leo kwenye social media na huo uhusiano wa baba na mtoto unaousema hapa hautokua mwema si kwa sababu ya Hamisa ila ni kwa sababu ya Diamond mwenyewe, kwa maana hakuna sehemu Hamisa aliyomtukana Diamond ila Mond amenukuliwa mara kadhaa akimtukana Hamisa na mwanae.
N.B mtoto atakua tu hata bila huduma ya baba,wanawake wa Leo sio wa mwaka 47 umshushie kichapo alafu avumilie tu kisa anawaza watoto atawapeleka wapi