Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kuvimba vipi? Eleza kidogo ueleweke mboni mimi nimeona hao maprezenta ndio wanamhutubia tena kwa kumpiga bijembe zamu kwa zamu yeye alichoongea kuvimba kipo wapi mboni hakuna hio clip?Tatizo wameshindwa kujiongeza. Dogo kaishia form 2 kaacha shule. Mwaka huu ndio ange kuwa form 4 . So dogo hakuwa tayari kuwaambia kwamba kaishia form two. Ila dogo na yeye ameanza kuvimba
Kwani kilichompeleka Studio zao ni kuzungumzia Muziki wake au kuzungumzia Shule anayosoma?Mtu kasema tu siko tayari kuzungumzia hilo na si vibaya.
Tuzungumzie mziki. Mnashuapaza shingo hao jamaa ndio wana shida, dogo anaweza kuwashinda akili.
Watunzi wengi wa muziki hawana au elimu zao ni ndogo, elimu ni kipaji ndiyo sababu kila mwaka wapo wenye shahada za muziki toka vyuo vikuu lakini hawavumi.Tunadharailiana SANA ILA UPANDE MWINGNE wanaweza kua na nia NJEMA TU elimu ni muhimu ILA Kam DOGO kachagua mziki wamsapoti TU nasi kumpangia MTU cha kufanya HAPO DOGO atajionaa SI CHOCHOTE kitu