Mahojiano ya Godbless Lema na Clouds FM yamehairishwa

Ameingia mitini...πŸ˜‚πŸ˜‚
Lema nilikuwa nashiriki nae mjadala kule Clubhouse, Jamaa huwa hana hoja zaidi ya kupayuka tu, Juzi kati aliitwa tena Star Tv yule Odemba kambana maswali akabaki anajiuma uma tu


hapo ameona angebanwa na kuishia kujisemea hawa Clouds ni wakala wa CCM, wanatumiwa ....
 
Odemba hakumbana Lema kwa maswali magumu, infact yeye ndie alikuwa akiogopa majibu magumu, kumuuliza mtu swali halafu humpi nafasi ya kutosha kukujibu, huo ni uoga wa muuliza swali, sio ujanja.
 

"yamehairishwa".​

yameahirishwa.
 
Lakini dharula jambo la kawaida ila somo limeeleweka kwamba Watanzania huwa wana hamu kubwa kuwasikiliza hawa wasio ogopa kuikosoa serikali.
Leo kuanzia saa 12 asubuhi watu wengi wali tune Clouds FM ili wamsikie Lema, kuliko hata ingetangazwa Majaliwa au Makamba atakuwepo hapo.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Msaliti mkubwa ni elimu yake...
 
Zaidi ya kunukuu vifungu vya biblia na kudhani kila anayekufa ni kwa sababu ni mdhambi hanaga jipya. Pia ni mtaalamu wa kiingereza kibovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…