Mahojiano ya Membe: UWT mpo wapi?

Mahojiano ya Membe: UWT mpo wapi?

Kutoka katika mahojiano yake na gazeti la JAMHURI: "Unaambiwa kiongozi huyu anabaka ofisini, lakini hadi anashitaki fulani amenifanya hivi au vile ili nipate kitu fulani, na kuna vitu vinajulikana vya wazi kabisa". Ikumbukwe hapa inaongelewa CCM.

Hoja:
Kwa nini UWT isilivalie njuga hizi taarifa maana Membe kaweka wazi kabisa as a matter of fact. Kwa nini Isifahamike kiongozi huyo anayebaka ofisini ni nani ili kama Membe anadanganya achukuliwe hatua kwa kudhalilisha CCM?

Bila hivyo hizi taarifa zisipopingwa zitafanya kuwe na mashaka juu ya wanawake viongozi wa CCM hasa viongozi wa kuteuliwa kuwa inawezekana ni wahanga wa ubakaji. Zingatieni kuwa kiongozi mkuu wa sasa ni mwanamke. Ukimya wa wanawake hasa UWT sio mzuri katika hili.
Nje ya hiyo Kashfa ya Ubakaji Ofisini kuna Kashfa nyingine moja mbaya ya Taasisi Muhimu na Tishio Tanzania ambapo binafsi kama KEROZENE nimeambia na Mmoja wao kuwa Vijana ( baadhi tu wenye Tamaa ya Maisha ya Juu ) hasa wa Kiume Wanalazimika Kusodomiwa na Kugomorewa ( kwa Mpalange ) na baadhi ya Wakuu ( Mabosi ) wao ili wapate Trips za nje ya nchi na wapate Vipaumbele katika Vitengo vya Pesa na wengine wasikosekane katika Teuzi mbalimbali za Kiserikali hasa za DAS, DED, DC na zile za Ubalozini nje ya nchi.
 
Swali zuri sana kwa huyo sukuma gang
Inaelekea wewe ni gang Lile la kaskazini lililokuwa limejimilikisha karibu maeneo yote ya fedha Kama TRA, hazina bandari na kadhalika ...mkiwaandama wasukuma msishangae watu wakaja na Chaga gang
 
Ajabu iko wapi wewe sukuma gang?
 
Kutoka katika mahojiano yake na gazeti la JAMHURI: "Unaambiwa kiongozi huyu anabaka ofisini, lakini hadi anashitaki fulani amenifanya hivi au vile ili nipate kitu fulani, na kuna vitu vinajulikana vya wazi kabisa". Ikumbukwe hapa inaongelewa CCM.

Hoja:
Kwa nini UWT isilivalie njuga hizi taarifa maana Membe kaweka wazi kabisa as a matter of fact. Kwa nini Isifahamike kiongozi huyo anayebaka ofisini ni nani ili kama Membe anadanganya achukuliwe hatua kwa kudhalilisha CCM?

Bila hivyo hizi taarifa zisipopingwa zitafanya kuwe na mashaka juu ya wanawake viongozi wa CCM hasa viongozi wa kuteuliwa kuwa inawezekana ni wahanga wa ubakaji. Zingatieni kuwa kiongozi mkuu wa sasa ni mwanamke. Ukimya wa wanawake hasa UWT sio mzuri katika hili.
Ukichunguza hasira alizonazo chifu mkuu kuhusu wanaume utagundua haya anayosema Membe huko ccm ni ya kweli.
 
Screenshot 2021-11-16 232145.png
 
Back
Top Bottom